Nawauliza Ninyi Mnaosimama Na Kuipenda Ccm Maswali Yafuatayo. Hv Ni Kweli Mpo Kwa Maslahi Ya Kitaifa Au Mnachumia Matumbo? Hv Mnaridhia Wizi Wa Pembe Za Ndovu Unaofanywa Na Viongozi Wenu? Je Mnapenda Uchumi Unavyoporomoka? Je Mnahuruma Na Vizazi Vya Sasa Na Baadae? Je Mnaridhika Jinsi Ccm Wanavyotumia Pesa Nyingi Kuua Upinzani? Je Mnapenda Kuona Watoto Wenu Wanasoma Shule Bora Huku Watoto Wengi Wa Kimaskini Wakisoma Shule Za Kata Zisizo Na Walimu Wa Kutosha No Madawati No Maabara? Je Mliridhika Kuona Wazee Wa East Africa Wakipigwa Mabomu Wakidai Haki Zao? Je Mnasikia Raha Mkichakachua Katiba Huku Imetumia Pesa Nyingi Za Nchi? Je Kama Nyerere Angefufuka Leo Mngamueleza Haya Aliwachia Muyaenzi? Je Mnapenda Utajiri Mkubwa Wa Kutisha Huku Watanzania Hawana Maji Safi Umeme Juu? Mnafurahia Watoto Wenu Pekee Kufanya Kazi Benki Kuu Na Wizara Nyeti Huku Watoto Wa Maskini Wanaishia Ualimu? Je Mnafurahi Kuona Ombaomba Wanaongezeka Wakiwa Na Watoto Wanaomba Huku Mkimuohonga Zitto Kodi Za Watanzania? Fisi Na Utumbo Wake.
leo naona umeamua kuja kivingine wewe mdubai? Ehe tuambie unaona chama kipi kinafaa kuwa mbadala wa ccm?
Leo naona umeamua kuja kivingine wewe MDUBAI? ehe tuambie unaona chama kipi kinafaa kuwa mbadala wa CCM?
Nawauliza Ninyi Mnaosimama Na Kuipenda Ccm Maswali Yafuatayo. Hv Ni Kweli Mpo Kwa Maslahi Ya Kitaifa Au Mnachumia Matumbo? Hv Mnaridhia Wizi Wa Pembe Za Ndovu Unaofanywa Na Viongozi Wenu? Je Mnapenda Uchumi Unavyoporomoka? Je Mnahuruma Na Vizazi Vya Sasa Na Baadae? Je Mnaridhika Jinsi Ccm Wanavyotumia Pesa Nyingi Kuua Upinzani? Je Mnapenda Kuona Watoto Wenu Wanasoma Shule Bora Huku Watoto Wengi Wa Kimaskini Wakisoma Shule Za Kata Zisizo Na Walimu Wa Kutosha No Madawati No Maabara? Je Mliridhika Kuona Wazee Wa East Africa Wakipigwa Mabomu Wakidai Haki Zao? Je Mnasikia Raha Mkichakachua Katiba Huku Imetumia Pesa Nyingi Za Nchi? Je Kama Nyerere Angefufuka Leo Mngamueleza Haya Aliwachia Muyaenzi? Je Mnapenda Utajiri Mkubwa Wa Kutisha Huku Watanzania Hawana Maji Safi Umeme Juu? Mnafurahia Watoto Wenu Pekee Kufanya Kazi Benki Kuu Na Wizara Nyeti Huku Watoto Wa Maskini Wanaishia Ualimu? Je Mnafurahi Kuona Ombaomba Wanaongezeka Wakiwa Na Watoto Wanaomba Huku Mkimuohonga Zitto Kodi Za Watanzania? Fisi Na Utumbo Wake.
Chadema!
Picha tafadhali
Leo naona umeamua kuja kivingine wewe MDUBAI? ehe tuambie unaona chama kipi kinafaa kuwa mbadala wa CCM?
Wanao isaport CCM wengi ni watu wanaotaka maisha ya haraka haraka....wasiotaka kufanya kazi...kijana aliosoma vzr akaelimika akapata kazi yake kwa halali hawezi isupport CCM kamwe
1.Chama kisichopenda kabisa madawa ya kulevya iwe biashara na kiburudisho kwa vijana. 2. Chama ambacho hakitahurumia wezi kwa kuwasamehe na kuamlisha warudishe walivyo iba. 3. Chama kinachotambua walala hoi hasa wakulima. 3. Chama kinachoamini kuwa ndani ya miaka 52 ya uongozi kwa nchi yenye rasilimali nyingi maisha ni bora mara sana kuliko yalivyo sasa. 4. Chama ambacho kitawajali vijana watz kwa usawa ktk elimu, matibabu, ajira na fursa sawa ktk siasa. 5. Chama kitakachoweka uwazi ktk uendeshaji. 6. Chama kitakachojali wazee. 7. Chama kitakacho ruhusu uhuru wa mawazo. 8. Chama kitakuwa na sheria za kulinda wananchi na sio maslahi ya chama na viongozi wake. 9. Chama tambuzi kwa watumishi, wanabiashara, wakulima, wastafu aina zote, walemavu. 10. Chama kisichochea udini, ukabila, ukanda, hali ya kuelemika kuliko wengine. 11. Kujua tumechelewa tunahitaji kukimbia. Ni cdm.
Nyerere akifufuka wa kwanza kujificha ni viongozi wa CCM ambao wanauvunja Muungano kwa sababu tu uchu wa madaraka.Labda tu kwakukusaidia mleta mada nikwamba hao Ccm ya akina Wasila na Mwiguru wakimuona Nyerere anafufuka wanamuongeza na nyundo yakichwa afe tena maana sio watu hao bora hata wanyama wakali
chadema ni jibu la matatizo yote ya watz