Mara nyingi watu wanauliza hili swali lakini nashindwa kuona shida iko wapi.
Ni sawa na mtu akiuliza hivi baba yako ni ndugu, rafiki, msaidizi nk? Baba ni baba tu! Vivyo hivyo mke/mume ni mke/mume tu! Ni aina mojawapo ya mahusiano katika jamii.
Maneno ya biblia yanasema hivi, baada ya Mungu kumuumba Adamu akasema " si vema huyu ake peke yake nitamfanyia mwenzake wa kusaidiana nae" na mengine yakasema "hao wawili watawaacha wazazi wao nao watakuwa mwili mmoja".Kwa hio mke na mume ni KUSAIDIANA NA MWILI MMOJA.
Kwasababu ni watu wawili waliojuana ghafla katika maisha na kuamua kuishi pamoja ikiwemo kusaini huo mkataba wa ndoa...So hamna undugu na hautakuwepo kabisa!!