Swali kwa Wanandoa

funzadume

JF-Expert Member
Jan 28, 2010
13,559
21,040
Hivi mke/ mme ni mpenzi, rafiki, ndugu, partner, mzazi mwenzio, msaidizi au ni nani naomba msaada jamani ili swali linachanganya
 
Hivi mke/ mme ni mpenzi, rafiki, ndugu, partner, mzazi mwenzio, msaidizi au ni nani naomba msaada jamani ili swali linachanganya

Mara nyingi watu wanauliza hili swali lakini nashindwa kuona shida iko wapi.
Ni sawa na mtu akiuliza hivi baba yako ni ndugu, rafiki, msaidizi nk? Baba ni baba tu! Vivyo hivyo mke/mume ni mke/mume tu! Ni aina mojawapo ya mahusiano katika jamii.
 
umeshasahau hata kabila lako luv?....unazeeka vibaya kweli.

Ng'ombe hazeeki maini lakini...hebu fanya fanya kamtori walau ni revitalise hii body!:A S 8::A S 8::smile-big::becky::cheer2:
 
Hivi mke/ mme ni mpenzi, rafiki, ndugu, partner, mzazi mwenzio, msaidizi au ni nani naomba msaada jamani ili swali linachanganya

Hapo penye red ndo majibu yenyewe.

Kwa sababu:

Wewe kama Mume/mke unaweza ukacheza nafasi zote hizo (kwenye red hapo juu).
 
Maneno ya biblia yanasema hivi, baada ya Mungu kumuumba Adamu akasema " si vema huyu ake peke yake nitamfanyia mwenzake wa kusaidiana nae" na mengine yakasema "hao wawili watawaacha wazazi wao nao watakuwa mwili mmoja".Kwa hio mke na mume ni KUSAIDIANA NA MWILI MMOJA.
 
Hilo swali ni la kwa wanandoa, asa mbona nyie mmekurupuka kulijibu.

Ni kwa wana ndoa waliofunga ndoa kabisa na si kuvutana. Wink.
 
kwa nn sasa mnasaini vyeti vya ndoa si ndio kupinga undugu kwenyewe maana naona ndoa kama ni mkataba flani hivi wa kisheria

Haya ya vyeti vya ndo ni matokeo ya mapokeo ya kikoloni.............ndoa zetu wafrika zilikuwapo na hazikuhitaji vyeti ili zithibitike!
 
kwa nn sasa mnasaini vyeti vya ndoa si ndio kupinga undugu kwenyewe maana naona ndoa kama ni mkataba flani hivi wa kisheria

Kwasababu ni watu wawili waliojuana ghafla katika maisha na kuamua kuishi pamoja ikiwemo kusaini huo mkataba wa ndoa...So hamna undugu na hautakuwepo kabisa!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom