Swali kwa wanandoa

Swali kwa wanandoa

rubwe

Senior Member
Joined
Feb 12, 2013
Posts
109
Reaction score
25
Ni sahihi pete ya ndoa kuvaliwa na mwanandoa mmoja?
 
kwani siku ya ndoa, mmoja tu ndio alimvalisha mwenzake? kama wote mlivalishana pete, yapaswa wote mzivae kama kielelezo cha ahadi mlizowekeana siku ya kufunga pingu za maisha
 
Wasabato hawavalishani pete knsn na maisha yanasonga!! Pete sio kitu kikubwa kiviiile
 
Best huwezi kuyalazimisha majira ya baridi kuwa joto
 
Kama mlifunga ndoa na kuvalishana pete si sahihi, kama ndoa yenu hamkuvalishana pete hamna shida.
 
Back
Top Bottom