hawasikiiTuliwaambiaje kuhusu kuoa?
Mbona wabishi sanaaaa?
#YNWA
Ndio mkuu kwenye ndoa kuna upungufu wa hisia ila watu wanachanganya wanaita upungufu wa nguvu za kiume ni kwamba unamuona wa kawaida ila ukitoka nae nje watu ndio wanasema umeoa pisi kali ila mwanaume anaona kawaida.Hivi ni kweli kwamba mkiishi kwa muda mrefu huwa mnachokana hata kama mnapendana kweli?
Yani naamanisha kuwa, kuna muda unatamani kutoka nje ya ndoa kwa kumkinai mwenza wako na kutaka vitu vipya.
NAOMBA MTUJIBU HILO SWALI SISI MABACHELOR.