Swali kwa wanachuo na walimu wa ualimu

Swali kwa wanachuo na walimu wa ualimu

jonii jonii

Member
Joined
Jul 10, 2016
Posts
70
Reaction score
39
Eti
Huduma ya kwanza kwa MTU aliyepandisha mapepo ni ipi
: Swali la pili
Education diploma assignment
Changamoto 6 zilizopo katika utoaji Huduma ya kwanza
Ukosefu wa sanduku/vifaa na elimu znajulikana..
Ongeza nyingine
 
Eti
Huduma ya kwanza kwa MTU aliyepandisha mapepo ni ipi
: Swali la pili
Education diploma assignment
Changamoto 6 zilizopo katika utoaji Huduma ya kwanza
Ukosefu wa sanduku/vifaa na elimu znajulikana..
Ongeza nyingine
Nn hiki asee
 
jonii joniii,yes ......, iiiitiii shuugaaa......
 
Hahahaaaa nlikutana nayo hayo nlivyoripoti kwa mara ya kwanza mbeya....unaambiwa tulibaki walim watatu tu shule nzima wengine walienda halmashauri daaaaahhhh nipo staff naandaa scheme wakaletwa madogo wawili wamezimia daaaaahhhh akili ilinihama nilivurugika nikatamani nikimbie nikajua dogo soon anairudisha namba nikaanza kutetemeka na kijasho chembamba kikinitoka sema wenzake walikuwa wamemzoea wakamvua viatu na shati wakaanza kumpepea alivyoinuka tu... Nikawaruhusu watoto warudi home ilikuwa saa 7 hiyo.,.....kwahuyu wa mapepo aseeeh mi nafunga office nakimbia
 
Back
Top Bottom