Abul Aaliyah
JF-Expert Member
- Nov 8, 2016
- 7,828
- 5,969
- Thread starter
- #21
Na hii ndo mitaj ya chama chakavuNa Utakuta Huyu kunamtu anamtegemea na Akili hizi!!
Sasahivi Hata Binadamu wapo Ni Ng'ombe kichwani
Na hii ndo mitaj ya chama chakavuNa Utakuta Huyu kunamtu anamtegemea na Akili hizi!!
Sasahivi Hata Binadamu wapo Ni Ng'ombe kichwani
Mashindano ya CAFCC ni michuano ya ngazi ya chini kuliko CAFCL hivyo kama kwenye ligi kuu ya nchi yako umefuzu kucheza klabu bingwa basi ni lazima ucheze klabu bingwa kwasababu ndio mashindano makubwa kuliko shirikisho.Ok,shukran vp bingwa mtetezi kutotetea kombe lake hili limekaaje????
Haiwezekani kuchagua lazima ufuate utaratibu kama ulivyo. Simba akishika nafasi ya pili ni lazima kushiriki champions league hata kama akichukua confederationHivi ikitokea Wanalunyasi wakabeba ubingwa wa Shirikisho,kisha Wakapata uwakilishi klabu bingwa ni lazima atetee ubingwa au anaweza kuchagua kucheza klabu bingwa na kuachana na shirikisho?
Hivi ikitokea Wanalunyasi wakabeba ubingwa wa Shirikisho,kisha Wakapata uwakilishi klabu bingwa ni lazima atetee ubingwa au anaweza kuchagua kucheza klabu bingwa na kuachana na shirikisho?
Swali zuri sana mleta mada. Nadhani timu inaweza kuamua kutetea taji lake. Mimi natoa ushauri wa mapema kwa Simba iwapo itatwaa taji la CAFCC msimu huu, irudi tena huku huku kutetea taji lake, waachie Azam waende CAFCL.Haiwezekani kuchagua lazima ufuate utaratibu kama ulivyo. Simba akishika nafasi ya pili ni lazima kushiriki champions league hata kama akichukua confederation
Hakuna utaratibu huo mzee mwenzangu. Ukishika nafasi ya pili unaenda champions league hata kama ukibeba confederation. Hakuna nafasi ya kuchagua.Swali zuri sana mleta mada. Nadhani timu inaweza kuamua kutetea taji lake. Mimi natoa ushauri wa mapema kwa Simba iwapo itatwaa taji la CAFCC msimu huu, irudi tena huku huku kutetea taji lake, waachie Azam waende CAFCL.
Suala siyo uwezo, suala ni mipango ya muda mfupi na muda mrefu iliyojipangia.Kama mnafikiri champions league ni level kubwa zaidi ya uwezo wenu mnachotakiwa kufanya ni kuachia mfungwe mechi zote za ligi kuu ili azam ashike nafasi ya pili.
Mipango inatakiwa kupangwa ndani ya taratibu rasmi za mashindano. Tukisema kila mtu aruhusiwe kupanga mipango nje ya utaratibu mfano 5imba walivyokimbia mechi kwa sababu zao binafsi, maana yake tutakua na mpira wa hovyo sanaSuala siyo uwezo, suala ni mipango ya muda mfupi na muda mrefu iliyojipangia.
Hivi ikitokea Wanalunyasi wakabeba ubingwa wa Shirikisho,kisha Wakapata uwakilishi klabu bingwa ni lazima atetee ubingwa au anaweza kuchagua kucheza klabu bingwa na kuachana na shirikisho?
Hakuna utaratibu huo mzee mwenzangu. Ukishika nafasi ya pili unaenda champions league hata kama ukibeba confederation. Hakuna nafasi ya kuchagua.
Kama mnafikiri champions league ni level kubwa zaidi ya uwezo wenu mnachotakiwa kufanya ni kuachia mfungwe mechi zote za ligi kuu ili azam ashike nafasi ya pili.
Natafuta Ajira Ukuje huku. Nilikwambia nini kuhusu hili suala?Mipango inatakiwa kupangwa ndani ya taratibu rasmi za mashindano. Tukisema kila mtu aruhusiwe kupanga mipango nje ya utaratibu mfano 5imba walivyokimbia mechi kwa sababu zao binafsi, maana yake tutakua na mpira wa hovyo sana
Zile penalties za sowa!Hivi ikitokea Wanalunyasi wakabeba ubingwa wa Shirikisho,kisha Wakapata uwakilishi klabu bingwa ni lazima atetee ubingwa au anaweza kuchagua kucheza klabu bingwa na kuachana na shirikisho?