Swali kwa wana ukawa

Swali kwa wana ukawa

foxyizafa

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2015
Posts
224
Reaction score
56
Hivi lowasa alijuzuru au alistaafu,?na hivi lowasa anapenda democrasia kweli naanamini ktk hilo?hivi sera za lowasa ndoznaiongoza chadema au sera za chadema zinamuongoza lowasa?,hivi lowasa aliihitaji chadema au chadem@
ilimuhitaji lowasa?nani anauchungu nachadema aliyekatwa ccm au mhafidhina?kama ikitokea bahati mbaya mkishinda nani atachagua viongoz chadema au lowasa?je ahadi za uongozi kwa waasisi wasafari ya matumaini waliomfata zitakufa?nna mengi ilanijibuni hayo kwanza
 
Utakuwa kijana wa ccm yani ndondocha wa ccm!
 
mtoa post anaelekea ni team-interahamwe. katika uliyouliza hakuna linalokuhusu. just keep shhhh!.. tukutane oktoba.
 
Back
Top Bottom