ningeenda nyumbani
ningemtoa mtu kiungo
ningeenda nyumbani
peke yangukuwatafuna wote?
MWANAUME, huo mtihani mgumu lakini lolote utalofanya linaweza kufanikiwa au kutofanikiwa kulingana na reaction ya MKE WAKO. Maana ukisema ukaze roho umpeleke mchepuko kwao halafu urudi nyumbani na mke wako.
Swali, nani muhimu kati ya MKE uliyempa pesa ya taxi au MCHEPUKO uliyemfuata kwa gari yako?
hapo sijui nazimia siwezi kufanya lolote maamuzi ya MKE nitayaheshimu
Mimi kama mke wa ndoa baada ya utambulisho ningempa mume mkono na kumwambia Glad to know you kisha nauchuna kimya kama siyo mimi vile.