Swali kwa wana ndoa tu

Swali kwa wana ndoa tu

Bukwabi

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2013
Posts
3,352
Reaction score
1,154
Mke alimuomba mume ampe lifti mpaka kwenye sherehe ( kitchen party, mume akasema yuko busy ofisini ila akampa hela ya taxi.

Alipofika kwenye sherehe akakutana na msichana mrembo wakazoeana na kuanza kubadilishana story za hapa na pale. Sherehe ilipoisha waliulizana njia ya usafiri ambayo kila mmoja atatumia kuondoka.

Yule mke wa jamaa akasema yeye amepewa hela ya taxi kwa hiyo angetumia taxi kurudi nyumbani. Yule binti mrembo akasema aliletwa na "boyfriend " wake hivyo angekuja kumchukua. Hivyo akamwomba rafiki yake huyo asitumie taxi.

Baada ya muda mfupi gari ya boyfriend wa yule binti mrembo likaingia. Yule mama akakaribishwa apande alipotahamaki akagundua ni gari ya mume wake.

Akapanda kiti cha nyuma na akatambulishwa kama rafiki wa yule binti mrembo. Mume alipogeuka akakutana uso kwa uso na mkewe.

Swali: Ungekuwa wewe (mwanamke au mwanaume) ungefanyaje?
 
Ningemwambia safari yetu itaanza hapa na mwisho wa safari ni guest na wa nyuma ni kwangu
 
MWANAUME, huo mtihani mgumu lakini lolote utalofanya linaweza kufanikiwa au kutofanikiwa kulingana na reaction ya MKE WAKO. Maana ukisema ukaze roho umpeleke mchepuko kwao halafu urudi nyumbani na mke wako.

Swali, nani muhimu kati ya MKE uliyempa pesa ya taxi au MCHEPUKO uliyemfuata kwa gari yako?

hapo sijui nazimia siwezi kufanya lolote maamuzi ya MKE nitayaheshimu
 
Nakusoma mkuu!
 
Back
Top Bottom