Ngoja nikupe picha kama ingekuwa ni mimi;
Kwanza baada ya kuwaona ninge freeze especially kama ni suprise(yani kama sikuwa hata na shaka kama wife anapigwa nje ya ndoa).
Nikishafreeze nitapotewa na fahamu kidogo, nadhani itanibidi niegemee ukuta.
Seconds kidogo fahamu zitanirudia halafu nitakuwa napumua kwa shida sana, naweza kuanguka.
Katika kipindi hicho ni chance pekee ya wale watu kukimbia sababu nitakuwa fightless.
Baada ya kama dakika nitapata hasira za haraka na kali mno. Hasira hizi zitanipelekea niume meno au nibane misuli ya mguu au nipige ukuta au hata machozi kunitoka.
Nikitoka stage hiyo nitatamani KUUA. Hapa ni KUUA mara moja waliopo pale bila mjadala. Hapa mode ya kuua ninayoipenda ni risasi ya shingo. Ningependa kusikia mgoni akikoroma wakati shingo ikitoa damu. Mke wangu risasi ya mguu kwanza wakati mwenzake anakata roho. Then nammalizia ya shingo ili awe na maumivu mara mbili.
Hapo katika kipindi hiki ni hatari sana kufanya jambo la hapo juu kama nina bastola.
Lakini sekunde chache baadae nitaacha kuwaza hayo ya hapo juu maana mimi kama MKRISTO sitakiwi kuhukumu na especially kuua. Matokeo yake yataacha doa kubwa sana kwa watoto wetu. Hapa naamini Roho wa Bwana atanishukia na kunikataza.
Nitakaa chini kwa muda nikiwa sijielewi. Watakimbia(mgoni atakimbia)
Nitaondoka na kwenda kupiga KONYAGI kubwa nzima huku machozi yakinitoka.
Litakuwa doa kubwa sana kwenye maisha yetu ya ndoa. Sijui nitasahau vipi ila chances kubwa itakuwa ni kutengana. Hapa nategemea nguvu ya Mungu iniongoze. Lolote linaweza kutokea, inawezekana nisitengane na mke wangu.
Nitaendelea kupambana na kisasi kwa yule niliyemfumania na kama marafiki wakinizungumzia vibaya plus nikakaa mbali na vitabu vya dini basi ninaweza kulipiza.
Maisha yangu yatabadilika sana. Nitakuwa more concerned na watoto wetu. Sitakuwa na security tena ya ndoa maana pia kuna magonjwa.
Nitajiweka mbali na mke wangu, mwisho wa siku nitatengana nae.
Ni bora afanye hivyo nisione wala nisijue. Kuona mke anafanya mapenzi na mtu mwingine ni kati ya matukio MABAYA sana kumtokea mtu.
Tunaomba Mungu atuongoze.