Swali kwa wadau wa Kandanda

Swali kwa wadau wa Kandanda

STUNTER

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
13,077
Reaction score
17,260
Wakuu Mimi sio mpenzi wa mpira wa miguu,
Ila imetokea tu sasahivi nipo mahali natuliza akili then kwenye screen kuna game ya KAGERA vs SIMBA,
SASA NAWAONA MAKIPA KILA WAKIDAKA MPIRA HUPIGA MOVEMENT YA KWENDA NAO HADI CHINI(wanalala nao)
Sasa naomba kuuliza je, ni machejo tu ya makipa, ni mikogo tu?
Au hii ipo kwenye sheria za soka?
Manake kuna nyakati unaona ameudaka vizuri tu na wala hakuna ulazima wa kulala nao,
Sasa najiuliza ivi kuna sheria yoyote labda ambayo inam-favor kipa aliyelala na mpira na pengine labda angeudaka akasimama nao tu hiyo sheria isingefanya kazi???
Naomba niishie hapa
 
Keeper ana muda wake wa kukaa na mpira na atacheza na huo mpira anavyopenda ili mradi kwake ni salama na anafuta sheria za soka.

Hiyo ya kudaka na kulala nao kama zone yake iko safe yaani salama hakuna shida ni mitindo tu kama vile wachezaji kupiga mpira na kisigino.
 
Ah, nimeona alizungukwa na adui kama 3 hivi, na wakati mwingine ni mpira wa kona.. Sa nnachotaka kujua, je kuna uwezekano wa kipa kupokonywa mpira ingawa ameudaka na sababu ikawa amesimama nao?
 
Pamoja na mengine pia ni njia ya kupoteza muda hasa kwa timu inayoongoza kwa magoli,ni sawa na kuingiza mchezaji katika dakikaza majeruhi yote nia ni ile ile kulinda ushindi
 
Ni sheria ya mpira mkuu imeongezwa juzi na FIFA kwa hiyo hiyo ni sheria namba 18 a2 ibara ya 11 kanuni ya 32 mkwaju 18.
 
Aaaah mdau kweli umecheza mpira wewe

Au umecheza mpira wa 6 by 6

Mbona nikitu kidogo sana kutambua hakuna sheria wala nn ila ni mbwembwe tuu

Sidhani kama umecheza kama umecheza ni zaman sana tena ukiwa mdg sana tena wa makaratasi madogo sana na kama hauko na mzuka nao ni sana hauna mzuka
 
Huna mzuka na mpira?! Unamiss vingi sana mkuu...BTW hayo ni machojo ila yakizidisha muda inageuka kuwa kosa na anaweza adhibiwa
 
Ah, nimeona alizungukwa na adui kama 3 hivi, na wakati mwingine ni mpira wa kona.. Sa nnachotaka kujua, je kuna uwezekano wa kipa kupokonywa mpira ingawa ameudaka na sababu ikawa amesimama nao?
Akiwa amesimama nao mpira na ukaupiga na kichwa na ukamtoka mikononi na kufunga ni goli ndiyo maana makipa wengi wanapenda kulala ni salama kwako.
 
Back
Top Bottom