Swali kwa wadada

ankol

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2012
Posts
2,724
Reaction score
5,291
Habari zenu
Hivi ni kwa nini mnapopiga picha zenu huwa mnageuka nyuma yaani mnaonesha mgongo badala ya mbele kama ilivozoeleka?
 
Habari zenu
Hivi ni kwa nini mnapopiga picha zenu huwa mnageuka nyuma yaani mnaonesha mgongo badala ya mbele kama ilivozoeleka?

kuna kitu unakiwaza si bure na uko kitandani pekeyako na album ya picha au jarida la porn fotos
 
Kwa sababu mbele tunajiona live, huko nyuma ndo hatujioni. Kwa hiyo inabidi reference iwe picha. Sijui umeelewa?
 
Habari zenu
Hivi ni kwa nini mnapopiga picha zenu huwa mnageuka nyuma yaani mnaonesha mgongo badala ya mbele kama ilivozoeleka?
Kwani hujui biashara ni matangazo?
 
Makalio ndo habari ya mujini
yamepanda chat siku hizi, mbele palikuwepo tangu enzi na enzi
 
Noma nakubinua midomo duck face wenyewe wanaita yani digital life raha sana wasione vioo nishida toilet tayari picha mtu anavaa kama anatoka alafu anapiga picha,ila ya kubinua ------ na vitovu dah
 
nakunywa chai ya kiporo cha wali na maharage jameni karibuni sana!!!
 
biashara za kupita afu mnaanza kutugeukia kwa nyuma hatutak ndo mana tunapiga za nyuma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…