Swali kwa vituo vya Television nchini

Swali kwa vituo vya Television nchini

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
52,162
Reaction score
162,591
Nimeangali taarifa ya habari ya baadhi ya vituo vya Television kama Channel 10 naona wameshindwa kabisa kutoa sehemu muhimu ya clip ya Lissu akimtaja muhusika wa Richmond badala yake wameikata ile sehemu muhimu inayomtaja mtuhumiwa kama Lissu alivyomtaja na badala yake wakatuonyesha sehemu isiyo muhimu ambayo Lissu aliikusudia ili kukata mzizi wa fitina.

Je,haya ndio maadili?

Kama ni maadili,maadili yanasemaje kuhusu jambo hili?

Je,mnawatendea haki watazamaji wenu?

Je,angekuwa ametuhumiwa mtu mwingine mngefanya mlivyofanya?

Hivi maadili yanayoongoza vyombo vya habari kama magazeti ni tofauti na maadili ya vyombo vya habari kama Television?

Kama hoja ni muda,sehemu ipi ya clip hiyo ilipaswa kurushwa na ipi ilipaswa kutorushwa kwa kigezo cha kulinda muda?

Kama sheria na kanuni ni zile zile,mbona magazeti yanakuwa huru kuripoti baadhi ya matukio kwa uwazi kabisa kuliko Television?

Ndugu yangu mwana-JamiiForums hapo ulipo naomba nawe useme kuhusu tv ulioangalia wameirushaje hiyo clip ya Lissu kwenye taarifa zao za habari ili tuweke mambo sawa.

Nimesoma magazeti mawili online muda huu naona nayo yamekwepa kabisa kumtaja muhusika kama hii clip iliyopo hapa JamiiForums inavyotuhabarisha.

Wameshindwa hata kumnukuu Lissu!

Hivi ingekuwa katika nchi za wenzetu kama vile Marekani habari hii ingeripotiwa kwa style hii?
 
Wasipofanya wao mitandao ya kijamii itafanya hiyo kazi.
 
Labda waliogopa wataambiwa ni habari ya kichochezi..
 
Nimeangali taarifa ya habari ya baadhi ya vituo vya Television kama Channel 10 naona wameshindwa kabisa kutoa sehemu muhimu ya clip ya Lissu akimtaja muhusika wa Richmond badala yake wameikata ile sehemu muhimu inayomtaja mtuhumiwa kama Lissu alivyomtaja na badala yake wakatuonyesha sehemu isiyo muhimu ambayo Lissu aliikusudia ili kukata mzizi wa fitina.

Je,haya ndio maadili?

Kama ni maadili,maadili yanasemaje kuhusu jambo hili?

Je,mnawatendea haki watazamaji wenu?

Je,angekuwa ametuhumiwa mtu mwingine mngefanya mlivyofanya?

Hivi maadili yanayoongoza vyombo vya habari kama magazeti ni tofauti na maadili ya vyombo vya habari kama Television?

Kama hoja ni muda,sehemu ipi ya clip hiyo ilipaswa kurushwa na ipi ilipaswa kutorushwa kwa kigezo cha kulinda muda?

Kama sheria na kanuni ni zile zile,mbona magazeti yanakuwa huru kuripoti baadhi ya matukio kwa uwazi kabisa kuliko Television?

Ndugu yangu mwana-JamiiForums hapo ulipo naomba nawe useme kuhusu tv ulioangalia wameirushaje hiyo clip ya Lissu kwenye taarifa zao za habari ili tuweke mambo sawa.

anzisha Tv yako ujitendee haki mbona unalialia????!!!!
 
Hiyo tv tumeisha isusia,angalia hata habari za mikutano ya kampeni ya Ukawa,katika kumi wanaonyesha miwili,cha msingi mpe kura Lowasa,dawa ya mnafiki ni aibu!
 
Hicho kipeperushi cha Mbowe, Tanzania Daima hakiwatoshi? Gazeti la Lowassa Mtanzania pia si lenu? Halafu Mlutheri Mengi pia si kawakabidhi ITV yote? Bado kilio, Hakika mmekamatwa.
 
Ni kweli Nimefuatilia (charel ten ) wanatangaza habari
za ukawa ni Kama vile wamekatazwa???

Wakifikia habari hiyo Mtangazaji
anaonyesha hofu Na kubabaika
Na n kuunga unga MANENO

yanayojichanganya na picha
na sauti na kosa mpangilio Halafu siku Yukawa wamefunika wanaonyesha kwenye marudio

au kesho yake Sijui wamepatwa Na nini toka Lowasssa ametoka ccm ??
 
Hicho kipeperushi cha Mbowe, Tanzania Daima hakiwatoshi? Gazeti la Lowassa Mtanzania pia si lenu? Halafu Mlutheri Mengi pia si kawakabidhi ITV yote? Bado kilio, Hakika mmekamatwa.

Wewe ni mjinga namba moja. Udini? udini? udini? aibu zako.
 
Hicho kipeperushi cha Mbowe, Tanzania Daima hakiwatoshi? Gazeti la Lowassa Mtanzania pia si lenu? Halafu Mlutheri Mengi pia si kawakabidhi ITV yote? Bado kilio, Hakika mmekamatwa.
Mchochezi mkubwa, una hatari sana wewe be care full na mwisho wa mnafiki ni aibu
 
Hicho kipeperushi cha Mbowe, Tanzania Daima hakiwatoshi? Gazeti la Lowassa Mtanzania pia si lenu? Halafu Mlutheri Mengi pia si kawakabidhi ITV yote? Bado kilio, Hakika mmekamatwa.

Kwahiyo hivyo vingine vilivyobaki ndo vya ccm? Halafu acha udini haulipi.
 
Hicho kipeperushi cha Mbowe, Tanzania Daima hakiwatoshi? Gazeti la Lowassa Mtanzania pia si lenu? Halafu Mlutheri Mengi pia si kawakabidhi ITV yote? Bado kilio, Hakika mmekamatwa.

wewe jina lako linatoshaa kabisa ila si mpinga wewe ni agent wa shetani kabisaa! Polee sanaa tunataka haki itendekee
 
Startv, channel ten wote ndo walewale. Wanaboa hata kuchek tarifa zao za habari
 
Umekurupuka kama ngiri mbona unakwepa kusema ukweli wa ITV ya mangi kwa chagadema!!
 
Hicho kipeperushi cha Mbowe, Tanzania Daima hakiwatoshi? Gazeti la Lowassa Mtanzania pia si lenu? Halafu Mlutheri Mengi pia si kawakabidhi ITV yote? Bado kilio, Hakika mmekamatwa.

Wewe naona kuna kafyuzi furani kwenye kichwa chako kamekatika
 
Back
Top Bottom