swali kwa siku ya leo ya aids

SWEET GIRL

JF-Expert Member
Dec 29, 2011
500
500
kweli siku ya leo ni ya muhimu sana na hakika sote twatakiwa kujitathmin na hasa kuwakumbuka wenzetu waliokufa kwa maradhi haya.
me swali langu ni kuwa je kuhusu hivi vipimo vyetu je ni kweli kuwa sasa hivi kuna kipimo ambacho chaweza kumpima mtu alieambukizwa vvu hata masaa 24 yaliyopita???nauliza hivi sababu pale aghakhan wakina mama wajawazito hupima mara moja tu wakati wa kuanza clinic je hakuna umuhimu wa kurudia tena baada ya miezi mitatu,?????
nilisikia kuwa mate hayaambukizi ukimwi but tunaambiwa ss hivi kuna kipimo kinachotumia mate tu je kuna ukweli wowote ktk hili na kama mate yanaweza kuambukiza vipi kuhusu kushea vijiko,glass sahan n.kpls mtusaidie ktk haya
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom