Gor JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 2,791 Reaction score 850 Jan 10, 2015 #1 Prof.tunataka kwenda mwezini kufanya uchuguzi wa kitaalam ya kisayansi,tupe formula ya jinsi ya kwenda huko?
Prof.tunataka kwenda mwezini kufanya uchuguzi wa kitaalam ya kisayansi,tupe formula ya jinsi ya kwenda huko?
mswele JF-Expert Member Joined Dec 18, 2014 Posts 687 Reaction score 420 Jan 10, 2015 #2 uende mwezini?ushaskia nani alifika mwezini??
mswele JF-Expert Member Joined Dec 18, 2014 Posts 687 Reaction score 420 Jan 10, 2015 #3 propagandaz imekukumba
Pasco_jr_ngumi JF-Expert Member Joined Nov 20, 2010 Posts 1,802 Reaction score 284 Jan 10, 2015 #4 majibu anayo MUHONGO
GITWA JF-Expert Member Joined Apr 1, 2012 Posts 1,754 Reaction score 2,119 Jan 10, 2015 #5 Ya nini umsumbue profesa wakati majibu wanayo akina mama. Maana nasikia wao kila mwezi wanakwenda mwezini.
Ya nini umsumbue profesa wakati majibu wanayo akina mama. Maana nasikia wao kila mwezi wanakwenda mwezini.
breki sifungi JF-Expert Member Joined Oct 15, 2014 Posts 694 Reaction score 409 Jan 12, 2015 #7 mi nna formula ya kufika juani, vp nikupe?
kingdon Senior Member Joined Feb 15, 2012 Posts 121 Reaction score 61 Jan 15, 2015 #8 G or said: Prof.tunataka kwenda mwezini kufanya uchuguzi wa kitaalam ya kisayansi,tupe formula ya jinsi ya kwenda huko?[/QUOTE Unamuuliza professor wa kichina au yup mkuu? Click to expand...
G or said: Prof.tunataka kwenda mwezini kufanya uchuguzi wa kitaalam ya kisayansi,tupe formula ya jinsi ya kwenda huko?[/QUOTE Unamuuliza professor wa kichina au yup mkuu? Click to expand...