Swali: Kwa nini tuko hapa?

Mtazamaji

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2008
Posts
5,937
Reaction score
1,445
Napenda kujua dhumuni la wenzangu ku post hapa au kuchangia habari fulani.

KUna watu tunakubaliana na wengine hawakubaliani kwa issue mbali mbali. Lakini swali langu ni je wenzangu pale unapoamua kuchangia au kuazisha mjadala fulani dhumuni lako hasa inakuwa ni nini ?
 
binafsi sijakuelewa unamaanisha nini? wewe kwa nini uliamua kujisajili JF? ili iweje? nini kilikuvutia?.......ushauri wako ni nini? maoni?
 
binafsi sijakuelewa unamaanisha nini? wewe kwa nini uliamua kujisajili JF? ili iweje? nini kilikuvutia?.......ushauri wako ni nini? maoni?

hahahaha Preta thanks kwa swali subiri nitazamie majibu ya watu. hili lako nitakujibu baadae ila naona wewe umeamu kutimia ile style ya kujibu swali kwa swali.
 
hahahaha Preta thanks kwa swali subiri nitazamie majibu ya watu. hili lako nitakujibu baadae ila naona wewe umeamu kutimia ile style ya kujibu swali kwa swali.

he he he....
 
Dhumuni ni kubadilishana mawazo na wenzako, maana kama huna dhumuni la kubadilishana mawazo ama hutahitaji kupost, ama ukipost utakuwa umepotea njia.

Ndiyo maana ya forum ninavyoelewa mimi.Una swali la nyongeza?
 
Poa hili ndio pekeee dhumuni langu la kuwa hapa .Nilidhani kuna mwenye zaidi ya dhumuni hili la kubadilishana mawazo anielimishe.
 
Kuzingatia biological needs za wanyama...yaani kuhusiana na kuwasiliana.
 
Tuko hapa kujuana, kupata burudani za aina mbali mbali kujadiliana mambo mbali mbali muhimu ya dunia ikiwemo Tanzania yetu, kusaidiana kwa namna moja au nyingine na pia kuelimishana.
Yeyote yule anayeanzisha thread atakuwa na dhumuni la moja ya hayo niliyoyataja hapo juu. Nadhani nimesaidia kujibu swali lako.
 
Nilipoona heading ya "thread kwa nini tuko hapa?" akili yangu ikawaza kuna mchambuzi ana data za kwa nini Tanzania hatujaendelea na yeye ana sababu zilizothibitishwa kitaalam na kiuchambuzi yakinifu, yaani nimechangia hii post kuonesha kuwa heading sometimes fools, siku hizi magazeti ya bongo sinunui kwa sababu ya heading zinazo-invite great expectation of the news but when reading you find something different, what happened ni kushuka kwa credibility ya magazeti hasa kwa watu makini. Starting a thread is very simple but sometimes can reduce someones reputation in the future. Wakiona thread ya "hofstede" hata muda wa kufungua wanauona ni muhimu kwani wanajua kuwa hamna kitu serious.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…