Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,326
- 3,446
Yani umeleta mada nzuri kweli, ata mimi nilishawahi kujiuliza kwanini kun os 3 tuu za komputer yani windows,ubuntu na Mac OSX. Alafu hiyo yakwanza ikaitwa windows alafu ikawa inachorwa kama kadirisha yani kama unaingia kwenye daimension nyingine hivi mhhh. labda ni coincident tuu. Alafu upande wapili kuna Mac Osx alafu zote ni marekani tuu nayo kila nikifikiria inanikera. Lakini ka ubutu kametuokoa manake inatoka kwa tajiri wa south africa na akaipa jina la mwanafilosofia wa kiafrika na siyo la kifremansonry. Alafu kuna solaris operating system nilikuwa niisahau hii haijawai kuwa popular is based on c coding for unix ni kwaajili ya severs na work stations from Oracle...nijuavyo mimi wachina ni mabingwa kucopy na kupaste katika vitu mbali mbali lakini toka nimeanza kutumia computer os ninayoijua na kuisikia sana ni za microsoft kuanzia window 95-window 8 inayotarajiwa kutoka mwezi huu sasa swali kwa nini hamna os ya kichina ambayo hawa watu wangekuwa wameicopy na kubadilisha vitu kidogo tu ili kuleta ushindani kama kawaida yao?
then window 8 karibia inatoka ktk pita pita zangu bado sijaona kama ni free from virus kwani hawa watu nini kinachowashinda kuifanya os ya window ikawa free from virus mbona apple zao ni free from virus
swali la mwisho naombeni mnipe elimu juu ya hili hivi copmputer za aple mtu hauformat kam hizi zetu za kawaida na ikiwa umeformata wapi unapata c.d zake za window na kama c.d ya o.s ya apple ipo hivi mtu huwezi ukainstall ios katika computer za kawaida naombeni kuwasilisha wadu
ishu inakuja ni hela, sorry naingiza mambo ya kisiasa kidogo. Wamarekani wao wana capital kubwa sababu ya ucapitalist mtu mmoja anamiliki hela nyingi. Wachina walikua kwenye usawa zamani kila mtu ana hela sawa na wengine mpaka matajiri wao wa sasa hawana hela sana. Hii inasababisha wao wachina na wahindi kua watumwa.
Bidhaa nyingi za windows zinatengenezwa india windows ni wahindi wahindi ni windows ukiwauliza nini wanakwambia kuna cheap labour hii inamaana angetokea mhindi mwenye capital ya kutosha kuwa organise wahindi kungekua na os ya kihindi
Apple na wachina wachina na apple same here angetokea mchina mwenye uwezo wa kuwaorganise pia wangetoa os nzuri tu.
hio ilikua world wide tuje china kwenyewe mainland
Kuna operatng system inaitwa red flag linux ipo china na serikali ya china waliipa sana nguvu kwa kuwaambia internet cafe waeke os hio badala ya za kimarekani sio maarufu sana duniani ila ni maarufu china.
kuna os nyengine inaitwa aliyun os nayo ni linux based pia sema hii ni ya smartphone imetengenezwa na alibaba sema nayo umaarufu wake ni huko huko china
vipi wadau kuhusu window 8 kuwa free from viruys kwa nini apple waweze na kwa nini microsoft washindwe au wanalipwa kidogo na antivirus companies
kuna os nnayo inaitw windows ghost ni ya kichina. Yaani ni xp ila wameidevelop kmtindo
chief-mkwawa samahani kwa kutoka nje ya mada. Unaweza kunipa mifano ya smartphone za kichina, na ambazo ni maarufu kwa sasa?
chief-mkwawa samahani kwa kutoka nje ya mada. Unaweza kunipa mifano ya smartphone za kichina, na ambazo ni maarufu kwa sasa?
kuna os nnayo inaitw windows ghost ni ya kichina. Yaani ni xp ila wameidevelop kmtindo