Yeye Mama kanumba kasema mahakama imetenda haki kwa hukumu iliyotolewa wala hajaongelea swala la uhusiano wa Kanumba na lulu
Halafu kuhusu lulu kuwa mtoto Hakimu alisema hivi nanukuu
"Kuhusiana na umri mdogo wa Lulu wakati tukio hilo linatokea mwaka 2012, Jaji Rumanyika amesema sheria ya kumlinda mtoto haimpi kinga Lulu kwa sababu huo alikuwa akifanya mambo ya watu wazima."
Elizabeth alikuwa na nyege zimemponza.Wanajamvi,
Jana mama mzazi wa Marehem Steven Kanumba amenukuliwa na vyombo vya habari akisema "Mahakama imetenda haki" kwa kumhukumu kifungo cha miaka miwili kwa kuua bila kukusudia Elizabeth Michael.
Moral question kwa mama Kanumba je mtoto wake Steven Kanumba alikua anatenda haki kwa kuwa na mahusiano na Elizabeth Michael?
You are in a Million - Heshima kwako Mkuu!!! Na ndio maana kuna mababa, au ndugu wa kiume wanaobaka hata kulawiti watoto wa kwenye familia zao 😡😡😡😡😡Na akina screpa wanashau kwamba, watu hatujihusishi mapenzi na vischana vidogo si kwa sababu vinatukataa baada ya kupata malezi bora ya wazazi wao bali hatufanyi huo ujinga kwa sababu tunafahamu sisi ni watu wazima na katu hatutakiwi kuvirubuni vibinti vidogo zaidi ya kuvipigania.
Basi hata huyo aliyekufa naye kafa kwa kilanga chake cha kutembea na mabaunsa. Shida za kimaisha zinawaponza wengi...Lulu naye ana mama vile vileJaji kamaliza kila kitu bana sema sina nukuu yake hapa. Kama lulu alikua mtoto saa sita usiku kwa mwanaume na miadi ya club aliwezaje kuipanga. Je gari linaweza kuendeshwa na mtoto? Hakuna ubakaji hapo. Kilanga cha kukimbilia dyu dyu mapema kimemponza lulu
Hebu fikiri between the two, nani nyege zimemponza?Elizabeth alikuwa na nyege zimemponza.
Kanumba.Hebu fikiri between the two, nani nyege zimemponza?
Lulu maana yooote mwisho yamerudi kwake yeye.Hebu fikiri between the two, nani nyege zimemponza?
Umeona eeh? Alie hai Vs Mfu?? Hili swala si la kuangalia kwa upande mmoja tuHebu fikiri between the two, nani nyege zimemponza?
She is alive and health. After two years she will have kids (may Allah bless her) and grand children. What about the other.Lulu maana yooote mwisho yamerudi kwake yeye.
Jaji kwenye kesi ya Lulu amemuhukumu nyoka aliyetengenezwa na wazazi wake, Kanumba na sekta nzima ya filamu na muziki nchini Tanzania, ambayo kwa hakika inatumia mtindo ule ule wa Hollywood na Bollywood wa kuwanajisi na kuwachambwaga chambwaga mastaa wake kabla hawajakwea hizo ngazi za ustaa. Namlilia Mwajuma wa kwenye nyimbo yetu ya utotoni.Lulu huenda akawa na matatizo yake kama binadamu wengine na simtetei kwa yaliyompata.
Najaribu kuangalia mazingira aliyopitia hasa kwenye tasnia ya uigizaji. Naweza kusema alikuzwa na kuwa mtu mzima kabla ya wakati wake. Kuna haja ya kuangalia upya ushiriki wa watoto kwenye haya mambo ili yasiwaathiri.
Wasanii wengi wanajikuta kwenye madawa sio kwa hiari, kuna kipindi wana fanyia shooting mazingira ambayo kiuhalisia hawawezi kumudu wala kumiliki, inawaachia stress na kuamua kujifariji kwa madawa
He is dead and long forgotten,and maybe enjoying eternal life,who knows?kosa lake kwa mungu wake sio moja,ana wema wake naye.Lulu hakusikia la mkuu sasa amevunjika guu.Beleve me namuhurumia sana lakini sisi huwa tunatafuta matatizo sana na hatusikii.Lulu alikuwa hasikii,ukiangalia record yake ya kashafa zangono utashagaa kama ana wazazi au hana.She is alive and health. After two years she will have kids (may Allah bless her) and grand children. What about the other.
Wazazi wake wakuwa wapi kumruhusu mtoto mdogo kutangatanga....hivi lulu amemaliza kidato cha NNE!?akiwa na umri ganiWanajamvi,
Jana mama mzazi wa Marehem Steven Kanumba amenukuliwa na vyombo vya habari akisema "Mahakama imetenda haki" kwa kumhukumu kifungo cha miaka miwili kwa kuua bila kukusudia Elizabeth Michael.
Moral question kwa mama Kanumba je mtoto wake Steven Kanumba alikua anatenda haki kwa kuwa na mahusiano na Elizabeth Michael?
Kwa niaba ya mama Kanumba naomba kukuulizwa swali! Kanumba alimbaka Lulu? Je, alikuwa ashalala nae? Una uhakika hakuwa 18+ ?Wanajamvi,
Jana mama mzazi wa Marehem Steven Kanumba amenukuliwa na vyombo vya habari akisema "Mahakama imetenda haki" kwa kumhukumu kifungo cha miaka miwili kwa kuua bila kukusudia Elizabeth Michael.
Moral question kwa mama Kanumba je mtoto wake Steven Kanumba alikua anatenda haki kwa kuwa na mahusiano na Elizabeth Michael?
Kesi iliyokuwa mahakamani si ya kuwa na mahusiano ilikuwa ya mauaji! Subiri amalize kifungo chake kisha umshauri amfungulie kanumba kesi ya kuwa na mahusiano naye!Wanajamvi,
Jana mama mzazi wa Marehem Steven Kanumba amenukuliwa na vyombo vya habari akisema "Mahakama imetenda haki" kwa kumhukumu kifungo cha miaka miwili kwa kuua bila kukusudia Elizabeth Michael.
Moral question kwa mama Kanumba je mtoto wake Steven Kanumba alikua anatenda haki kwa kuwa na mahusiano na Elizabeth Michael?
Dah....hizi ishu mbili tofauti...umejichanganya[emoji87]Wanajamvi,