Swali kwa madada: VIPI MKONO WA SWETA?

Swali kwa madada: VIPI MKONO WA SWETA?

Mmetumia tafsida sijui ya Rwanda? Mbona mi sielewi, mkono wa sweta mkono wa sweta. Ndo nini?
 
Mimi Nina mkono aw SWETA , my gf wangu anaupenda

Kwa hiyo unaogopa kwenda kuutoa nitawambia akina chacha wakupeleke ukatolewe bila ganzi tena na sime.
 
UALIMU NI KAZI !!!
Mwanafunzi mmoja alikua hajui kutoa wala kujumlisha,mwalimu akatumia njia zote kumuelimisha lakn wap,ikabidi ajaribu njia hii:
MWALIMU: Kwenu mnafuga nin?
MWANAFUNZI: Kuku na mbuzi
MWALIMU: Mbuzi mnao wangapi?
MWANAFUNZI: Mbuz 15.
MWALIMU: Mbuzi 15 toa mbuzi 5 watabaki wangapi?
MWANAFUNZI: Unawajua mbuzi we2 au unawackia? ukimtoa mmoja tu wote wanatoka...
MWALIMU: Mh! haya mtoto mzuri, nenda kapumzike!
 
Si ulikata sweta lako mpk dushe likapinda ma.pu.mbu yakawa madogo?? Una jipya??
 
Back
Top Bottom