Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 12,227
- 33,795
Umetoa maelezo ambayo hayapo kwenye swaliHata aitwe mama John au mama George,haiondoi ukweli kwamba ni mama wa wote
Kwa namna swali lilivyoulizwa, wewe utamwitaje?Kuna wamama wana watoto zaidi ya 7 ila unakuta jina la mtoto mmoja ndio linachukua nafasi kwa Mama yao kuitwa Mama fulani,
Sio kwamba jina huchaguliwa ili aitwe Mama nani,jina huja automatic tu na kuzoeleka,
Anaweza kuitwa Mama fulani kwa jina la mtoto wake wa kwanza,wa mwisho au wakatikati.
Wewe jeWanawake wapo so particular , atakuita jina la mtoto wake
Nitamwita wife,Kwa namna swali lilivyoulizwa, wewe utamwitaje?
Maelezo mengi sana wakati swali fupi.Nitamwita wife,
Kwani ni lazima nimwite Mama fulani?
Halafu wanaume tunaojielewa hua hatuna pigo za kuwabagua watoto wa kambo,watoto ni malaika,they are innocent,
Kama umeoa single maza basi mpende na mtoto wake,ukipenda boga,penda na ua lake,
Halafu hapo mtoto anakua mbali na Baba yake,so wewe ndio unatakiwa umpe ule upendo wa Baba ili asiwe mnyonge,hata Mungu atakubariki,roho mbaya haijengi,
Nimekujibu hivyo coz swali lako limekaa kiubaguzi kwa kushindanisha mtoto wa kuzaa na mtoto wa kambo,
All children deserve a childhood free from discrimination based on race, gender, ability, religion, or social status.
Jamiiforums is an open forum,JF ni kama Shule,hayo maelezo yangu sio lazima uyaelewe wewe au uyakubali wewe,bali wapo watakaojifunza jambo hapo,na ndio lengo langu kuu kwenye hayo maelezo.Maelezo mengi sana wakati swali fupi
Next time ukikutana na swali lenga pale ambapo unatakiwa kueleza tu. Ukiongeza "halafu" itaonekana kuna upuuzi unataka kuuhalalishaJamiiforums is an open forum,JF ni kama Shule,hayo maelezo yangu sio lazima uyaelewe wewe au uyakubali wewe,bali wapo watakaojifunza jambo hapo,na ndio lengo langu kuu kwenye hayo maelezo.
Udhaifu unao wewe,yani Mwanaume mzima badala ya kuwaza vitu vya maana,eti unawaza umwite mkeo kwa jina la mtoto wako au jina la mtoto aliyezaa za mwingine!Mwanaume kujielezea sana ni dalili ya udhaifu
Wewe pimbi huna mamlaka ya kuwapangia watu humu jinsi ya kujibu hoja au kujibu swali,Next time ukikutana na swali lenga pale ambapo unatakiwa kueleza tu. Ukiongeza "halafu" itaonekana kuna upuuzi unataka kuuhalalisha
Mwanaume kujieleza sana ni dalili ya udhaifuUdhaifu unao wewe,yani Mwanaume mzima badala ya kuwaza vitu vya maana,eti unawaza umwite mkeo kwa jina la mtoto wako au jina la mtoto aliyezaa za mwingine!
Nafikiri umeumia sana kwa jinsi swali lako la kipumbavu lilivyopokelewa na wanaume wanaoijtambua,
Get out and get a life mzee,acha kuwaza vitu useless.
Mwanaume aliyekamilika as a Gentleman hawezi kuanzisha uzi wa namna hii na kuuliza swali la aina hii,Alooo ipo namna single mom alikufanya kitu kibaya sana😂😂😂
Hujamaliza ya kwenye ule uzi umekuja mbio mbio kuanzisha mwengine,
Angalia wanaume wenzio wenye hela walivyokujibu kistaarabu, kama nakuona unavyowaita masimp huko uliko🤓🤣🤣🤣
Tuliza munkali mdogo anguWewe pimbi huna mamlaka ya kuwapangia watu humu jinsi ya kujibu hoja au kujibu swali,
Tafuta kazi yakufanya,Mwanaume kuwaza eti mkeo umwite kwa jina la mtoto gani,ni matumizi mabaya ya akili na muda,don't waste your time aisee.
Naona umeanza kua mpole ghafla,endelea tu na lugha uliyoitumia mwanzo,ulifikiri ningekuchekea sio?Tuliza munkali mdogo angu