Kwanza ulishakosea ulitakiwa kumtafuna hiyo siku mlipokutana tu then usingekuwa na swali tena mkuuJaman habari zako? maaana najua akat unasoma uko mwenyewe!.
Mimi ni kijana wa kiume nimetokea kupendwa na mdada mmoja hapa jirani juzi alianza kuonyesha dalili kitambo.Mfano nikikutana nae anikumbatia kwa nguvu anafrahi ana changamka sana!. lakin mimi kusema kwel ndo walaaaaaaa sijamwelewa/kumpenda.
Mwezi uliopita ilitokea nikawa sijaenda kwenye mizunguko yangu na kwenye salamu nilimwambia kwamba nipo nyumbani.Alipogundua hilo alinialika kwao akiwa mwenyewe kwao mimi yuuuuule nikaibuka nkaingia getini kwao tukaaanza piga story wakat wa story nkamuuliza "Ivi unanipenda?" akasita sita akasema ndio. Apo mi nkajiongeza nkambananisha ukutani nkaanza kum touch touch akawa kama anaelewa yale yanayoendelea yani............ .Nkitaka kumfunua anakataaaaa akanipa story kwamba "Long time ago aliingiliwa na jamaaaa flani hivi so hayo mambo ya kuniaje yanamtesa sana so hatoweza.
Nkasema hapa nisije jikuta nashindwa kujizuia nkaaaacha nkampigisha story mbili huku tukiwa 0.0000000000006 distance mara ma kisss ya hapa na pale....mi huyooooooooo nkarudi maskani.
Maswali yangu hapa.
1)huyu mdada ananipenda kwel kuliko hata mdada yeyote alie wahi nipenda yani anaonesha ana TRUE LOVE kwangu.Je nijifanye nampenda? maaana sometimes ananiuliza Unanipenda? mi nasema ndio lakini najiskia uzito.
2)Pia huyu dada amepitia kasumba kama laki ambazo zimemfanya asiende shule so kusoma kafundishwa juzi juzi sometimes ata mimi ananipa wakat mgumu kujua kama anauliza au anasema.Si atakuwa mzigo kwangu???.ukicheki mimi nina soma somaaaaaaaa. We utakubal kuoa au kuolewa na ambaye hajasoma?
NB.msaada wenu jaman kina miss natafuta,Zero iq,Money penny na wewe pia!
Bro ushawahi skia ule wimbo "kiraru raru kinapanda huelewi....."? wa kinaa joh makini. Ndo kilochokua kinatokea.Labda kweli naitaji maombi....Hivi demu asiye kuvutia unawezaje kumfata kwao, kumbananiza na kuanza kufanyanae romance hizo hisia, ulitoa wapi.
Bro ushawahi skia ule wimbo "kiraru raru kinapanda huelewi....."? wa kinaa joh makini. Ndo kilochokua kinatokea.Labda kweli naitaji maombi....
Apo ndo patamu maaaaana nimekuwa nikitafta kingasti kwa decade kazaaaaa wamenipiga chini uyu ambae kaelewa naaaanzaje kumpiga chini natakiw hata nimu actie ata afarijike kukataliwa najua machungu yake.Dah sijui roho laini imetoka wapiiiii!!Wew kama hakuvutii piga chini
Nawaza sana Mtiziii si unajua fikiria kabla ya kutenda.... . By the way ni jirani "kama kuku wako manati ya nini????" huyu nina uwezo wa kumfanya kama mke angu yaniii. Lakini daaaaah kupiga na kukimbia mzigo mgumu kwanguSasa ulishindwa kupiga bakambu unakuja kulialia jf!
Kwayo nianze na ipi kuenda shule au kumpeleka Guest?.... unanchanganya Mr Cmoney!.We jamaa elimu yako haijakusaidia....nadhanimhata wewe ukirudia soma hutaelewa...acha mapenzi nenda shule halafu acha ngono zembe nyumbani kwa mwanamke ndo maana kuna maguest utakuja itiwa mwizi
Dah recycle bin. Ulijuaje??????. Au na wewe mwenzangu?najua fika unajilaum kwa hilo na ndio maana ukaleta hili bandiko
We jamaa elimu yako haijakusaidia....nadhanimhata wewe ukirudia soma hutaelewa...acha mapenzi nenda shule halafu acha ngono zembe nyumbani kwa mwanamke ndo maana kuna maguest utakuja itiwa mwizi
Appreciated ✓✓✓Japo haujaniita lakin mchango wangu ni huu....
Mapenzi, maisha na kusoma ni vitu vitatu tofauti,
Mi nitaolewa na mtu hata kama hakusoma madhali nitakua nimeridhika nae.
Hapo nimekuelewa so nimpege chini coz sijamwelewa!??Mi nitaolewa na mtu hata kama hakusoma madhali nitakua nimeridhika nae.
Dah recycle bin. Ulijuaje??????. Au na wewe mwenzangu?
Apa kwenye vizinga sizani kama ataeza.... . But ikitokea akanipiga ntatumia njia hio kumkimbia ili nitoke kwenye hili "BONGE LA DILEMA"ngoja akupge vznga na gem atoi
So Huna mchango idiot?...... idiot!ukataka ma play boy na wagumu binafsi sijakiona.