Swali kwa ma HR

mkata-mkaa

JF-Expert Member
Nov 16, 2016
296
181
Naomba kuuliza, kwenye maombi ya Kazi kipi ni sahihi

a) Ku attach cover letter na cv kweny single file

b) Ku attach cover letter na cv kwenye separate file
 
Mimi sio HR ila mara kadhaa nimekuwa involved na recruitment issues, tuma in a single file. Yaani kwa applications zinavyokuwa nyingi na ukizingatia mostly zinakuwa zinapitiwa zikiwa hardcopies, wengi wasingependa kuanza kudownload na kuunganisha kwa sijui application hii na cv yake, weka pamoja ili aki-print anazipata pamoja anasoma barua, anafuatia cv halafu amalizia vyeti sio umpe kazi ya kufikiri a-download na kuungaunga vitu
 
Fuata maelekezo watakayokuwa wamekupa. Kama umeambiwa u-attach kwa file moja, fanya hivyo. Kama umeambiwa utume kila moja kwa njia yake, fanya hivyo pia.

Ila mara nyingi watakiwa uziweke pamoja.
 
Fuata maelekezo watakayokuwa wamekupa. Kama umeambiwa u-attach kwa file moja, fanya hivyo. Kama umeambiwa utume kila moja kwa njia yake, fanya hivyo pia.

Ila mara nyingi watakiwa uziweke pamoja.
Asante mkuu
 
HR wa bongo ni mishahara tu.

Kuna kipindi nilikuwa involved kwenye recriluitment za HR hadi ni kadhangaa.

Kwa nni wenyewe tu hawawezi hata approach za interview?
 
HR wa bongo ni mishahara tu.

Kuna kipindi nilikuwa involved kwenye recriluitment za HR hadi ni kadhangaa.

Kwa nni wenyewe tu hawawezi hata approach za interview?
Mkuu naomba ungespecify tu kwa data kamili kuliko kugeneralize mambo comment kama hizi zinapaswa kutolewa watu wasiojua kusoma wala kuandika! kama taifa vijana tunatakiwa kutoa suluhisho sio kugenelize mambo!
 
Back
Top Bottom