Nimeipenda MwanajamiiOne sana hii, ingawa jamaa sio member humu JF nitamuonesha maelezo yako haya ili akiasoma achague mwenyewe cha kuamuaManyanza Pole kwa huyo rafiki yako. Alifanyalo huyu mdada ni la ajabu kwani kwa kawaida wapenzi wanapoanza mapenzi na kadri siku zinavyokwenda mwanamke ndie hupenda zaidi wakati mapenzi ya mwanaume huenda yakipungua (With exceptions ofkoz). Ila ninachowezaona hapa ni;1. Huenda huyo dada hakuwa na mapenzi ya kweli kwa jamaa yako na pengine alirush from hiyo past relationship yake haraka na jamaa alichukuliwa kama kidonge cha pain killer ambacho hakihitajiki tena baada ya maumivu kupungua!2. Kitendo cha mdada kumwambia or rather kutishia kuwa anatamani kurudi kwa Ex-wake inaonyesha kuwa she is still attached kwa ex na siku ex akiclick his finger tu mdada atarush back akimwachia maumivu zaidi jamaa yako. 3. Maelezo ya kuachana kwa ex- na huyo mdada kumbuka ni ya upande mmoja (Mdada alimsimulia jamaa yako) so its not that much relieable especially kwa vitimbi avifanyavyo sasa hivi) Inawezekana yeye ndiye aliyefumwa akaona atunge hadithi nzuri ikiwemo ya usuluhishi....na4. Unauliza kama inawezekana kumrudia mtu ambaye ulishamfumania zaidi ya mara nne: Jibu ni ndio na hapanaNdio: If you are too obsessed na mtu huyo kiasi kwamba uko radhi kupeana zamu na hao vidosho wake na kubear udhalilishaji wake na Hapana: Iwapo unaijua thamani ya utu wako, penzi lako ambalo ni dhahiri kuwa mtu huyo halideserve. Kwa huyo jamaa yako, Manyanza msaidie afungue macho, masikio, akili na utambuzi wake maana definetely something fishy is going on kwenye maisha ya huyu wifi!
Na sijui kama anaelewa maana ya Kupendwa!Duh! Jamani wapenzi wa siku hizi bana, yaani vitimbi kila kukicha. Nina wasiwasi kama huyo jamaa yako anapendwa.
Baada ya kuambiwa yote hayo na huyo msichana bado anataka kushauriwa? mwambie akimbie tena asigeuke nyuma, msichana amemkosea sana heshima aisee, yaani kuna njia za kumfanya jamaa asikufatefate lakini yake ililenga kumdhalilisha jamaa. alimaanisha jamaa hamridhishi maybe, kwani kitu gani anachoweza kufanya huyo x wake na jamaa ashindwe kufanya? au ndio yale mambo ya pwani? maana nasikia wakianza hawaachi kaona arudi kunako hiyo huduma
Mpe pole sana jamaa, hili ndilo tatizo la kupenda sana na akajua kwamba unampenda sana.. Hajachelewa 4months siyo kitu, na ni bora imetokea mapema. Kuanza upya c ujinga, na ujinga huwa wakati wa kwenda tu na si wakati wa kurudi, inaumiza najua lakini hakuna mapenzi hapo
Dah, pole mkaka. Soma alama za nyakati, fanya uamuzi wa busara. Lakini kwa kuwa huyo ni DEMU na mmejiridhisha wenyewe kumuita demu mi naona mnamuonea mnavyomlaumu. Demu? ni nini hicho?
umeona eeee, hajamsoma vizuri huyu msichana, atasemaje kuna vitu anamfanyia x wake akisikia atamchukia, ni nini zaidi ya hilo? aaaah wasichana wengine bwana wamezoea mambo ya ajabuajabu wakipata mstaarabu wanaona kama hawa fit vileU're right dia. Hapo umemaliza kila kitu. Kama ujuavyo wadada wengine huwa wanatoa huduma ileee ya mambo ya pwani kwa siri kubwa sana! Nadhani haikuwa rahisi kumwambia jamaa ampe hiyo huduma may be kwa jinsi mshikaji anavyo-mrespect na ku-mvalue bila kujua hyo demu anagawa hiyo huduma. Hawezi kusema maneno makali kiasi kileee, hiyo ni dharau saaana! kwani angetaka huduma ya t i . G o si angemtegeshea tu jamaaa ktk yale mambo ya kujipimia ajifanye amekosea na kuchomeka huko kunako O ? sasa tatizo liko wapi hadi kumvua nguo jamaa namna hii!
I real like U're comment Shantel na hongera kwa kuwa mwepesi wa kusoma btn the lines!
hahahahahaha wewe BB kaona bwana...halafu uko wapi siku hiziManyanza kumbe wewe ni mwoga eeee, nahisi ni wewe umetemwa kwa uvivu wa kusoma nyakati, pole swt wangu.... ndio maisha...umemsoma shantel lakini??????
mmh ukisoma maelezo ya mletaa mada kuna kijiukweli!Inawezekana jamaa wa zamani alikuwa anakula tigo sasa huyu wa sasa anapiga kawaida na demu katamani tigo yake iguswe. Ndio maana kamwambia nikikuelezea alivyokuwa ananila tigo hutanitamani tena!
Hahaa haaa BB missed you my dear! Ulikuwa wapi? Me siwezi kutemwa kizembe namna hiyo, kuna mshikali wangu analialia na nimemshauri piga chini ananichukia mpaka mimi ndio maana nikalileta hapa jamvini na nitamtumia email maelezo ya wadau wote ili ajisomee yeye mwenyewe!Manyanza kumbe wewe ni mwoga eeee, nahisi ni wewe umetemwa kwa uvivu wa kusoma nyakati, pole swt wangu.... ndio maisha...umemsoma shantel lakini??????