Lizzy,Nnunu hapo juu naona anataka kunila nyama mpaka kanishtaki kwa wadau wengine.Mwambie a chill bana haya mambo ni ya kawaida mbona.Kuliko ubaki huna mtoto si bora wa kuchakachua na kama una hela yako si unalea mwenyewe? Kikubwa usimsumbue mama chanja wa jamaa kwa kumpigia simu za matusi au kuomba hela ya maziwa.