Well said.... MkuuNi kweli kuwa wenzetu wametuzidi.
Wote tumezaliwa katika mazingira magumu, ya hali ya hewa, upatikanaji wa maji na nishati, pamoja na suala zima la usalama wa makazi yetu na uzalishaji chakula.
Sasa angalia kwa miaka na miaka au karne jinsi sisi na wao tulivyotumia akili zetu katika kuyabadili mazingira hayo magumu yawe na ahueni katika kuendesha maisha ya kila siku.
Hali ya hewa, wenzetu wana vipindi vya baridi kali vyenye theluji na kuganda, wakavumbua jinsi ya kuzalisha joto katika nyumba zao, sisi hatuna baridi ya kiasi hicho, ila tukiwa na baridi yetu, zaidi ya kujifunika hatuna mbadala. Kwao kukiwa na joto kali, wakavumbua viyoyozi ya kuleta baridi, sisi kwetu mpaka hivi leo hatujavumbua lolote la kwetu.
Nishati, licha ya kujaliwa kuwa nayo kwa wingi, hatukuwahi kujua kuwa mafuta au gasi tunaweza kutumia kwa kuzalisha nishati, na hata hivyo hatujavumbua vifaa na mitambo itakayotumia nishati hizo, wakati wenzetu wanayo mitambo, wana vifaa vya kulimia, kuvunia, kusindika na usafirishaji wa mazao na bidhaa kwa ajili ya matumizi.
Sasa haya ni ya msingi kabisa katika kuendesha maisha, lakini pia kuna ambayo si ya msingi sana, kama haya ya siku hizi ya kieletroniki, unaweza ishi bila ya kuwa nayo, ila nayo yamezidi kurahisisha maisha yetu, wanayagundua wao sisi hata tukisoma, tunaishia kukarabati walivyotengeneza wao, hatuvumbui vya kwetu.
Nyanja za tiba na afya, uchukuzi, usafiri wa anga, utafiti, ulinzi na usalama, biashara mpaka siasa, vyote wenzetu wanaonesha njia na jinsi walivyo bora wakati huku kwetu hatuna hata dalili ya kuonesha tunayaelewa hayo masuala, zaidi ya ubabaishaji tu.
Kwa Maelezo yakoKwanza tukubaliane kwamba Genetics ni moja ya sababu when it comes to the pruning of the brain and reorganisation of the brain structure.
Research zimeonyesha kwamba mazingira ambayo mtoto anakuwa exposed wakati wa miaka yake ya kwanza kabisa when brain development is at its peak it has huge influence on how their brain develops.
Sasa hapa kuna sababu nyingi sana za kimazingira ambazo huchangia katika ukuaji wa ubongo.In nature mtu mweupe si kwamba ana akili kuliko mweusi,lakini kutokana na mazingira mtu mweupe amefanikiwa kuikuza akili yake na kumshinda mtu mweusi at the time of aging.
Naona kama unapinga ukweliMkuu Ukiachana na Factors kama Ugenious na Mengineyo hakuna ukweli wowote kuwa watu weusi tunazidiwa akili na watu weupe, Akili ya Binadamu hukua na kuchangamka kutokana na mazingira Yanayomzunguka..
Ukitaka kugundua Muweke mtoto mweusi na mweupe katika mazingira yanayofanana na walelewe kwa malezi sawa, wasome kila kitu sawa, lazima wawe na performance inayolandana tu!
Mfano mzuri ni Dr Ben Carson, He was genius na alikuwa kwenye Darasa la weupe!
Your Elder Bro!
Khan
Unaweza kuthibitisha Mungu yupo?Jf.... Hope mko fine
Ukiwa wewe ni mwana Jf swali hili linakuhusu, Tafadhali toa maoni yako
Je ni kweli ngozi nyeusi akili zetu ni ndogo ukilinganisha na wazungu? ??
Ikiwa ndio au hapana toa Maelezo yako
Ebu fikilia
Characters waliotumiwa na Mungu kujifunua duniani kwa mjibu wa theology ni ngozi nyeupe
Kanuni za uaandishi ni kazi ya ngozi nyeupe
Gadgets zote unazotumia ni kazi ya ngozi nyeupe
Check items uzanotumia ofisini kwako na home ni kazi ya ngozi nyeupe
Ata style za kugegedana mnaiga style za ngozi nyeupe
Naomba kuwasilisha