swali lako linamuhusu zaidi ngeleja kuliko slaa kwani swala la ku deliver umeme kwa wananchi linasimamiwa na serikali zaidi kuliko chama cha siasa na kama unachokisema kama ni kweli basi ccm ndio itahathiirika zaidi na mgao huo kuliko chadema kwa maana chadema hawaendeshi Tanesco bali ni ccm. kuhusu upatikanaji wa umeme kulingana na kuichagua au kuitoichagua ccm labda nukuulize vijijini ambapo hakuna umeme kabisa hata wa mgao huko si ndio waliko chagua ccm kwa asilimia 90% nao pia wanakomolewa kwa kuchagua chadema siyo ???Dr Slaa, kulikuwa na kasumba iliyozoeleka huko nyuma kuwa jimbo likichukuliwa na upinzani, huwa kuna visasi vinavyofanywa na serikali ya chama tawala vya kutotekelezwa kwa mipango ya maendeleo katika jimbo hilo kwa makusudi ili kuwakomoa wananchi wale. Kwa mfano kuna tetesi kuwa mgao wa umeme Arusha mjini ni mkali kuliko sehemu zingine na watu wanahisi ni kwa sababu ya kuchagua chadema. Je chadema wamejiandaaje kupambana na tatizo hili la serikali ya chama tawala ambalo kwa kiasi kikubwa hutumiwa ili kuzoofisha upinzani?
Sisi wengine tunajua ni wajibu wa serikali kupeleka maendeleo sehemu zote za nchi pasipo upendeleo wa aina yoyote kwa kuwa wanalipa kodi, lakini inapokuja kwenye majimbo ya wapinzani huwa kuna tatizo la serikali kuwasusia wananchi wale.
Pia kwa uelewa wangu, jimbo linaloongozwa na mbunge wa upinzani linatakiwa lifanye vizuri kimaendeleo kwa sababu kutakuwa na matumizi mazuri ya fedha za maendeleo kwa kuwa kuna usimamizi mzuri.
Hili swali si la kumuuliza Dr Slaa hata mie naweza kukujibu,,umeisha sema ni wajibu waserikali kupeleka maendeleo sehemu zote, na kama inashindwa na kuamua kupeleka sehemu ambako wenyewe wanaongoza hiyo ni dhahili kuwa hii serikali ni ya kibaguzi sana,, ndoo maana hata Ana Kilango
alisema kuwa Ngeleja amewapelekea watu wa Sengelema umeme na amewaacha watu wa Same,, pili taizo la umeme hapa TZ ccm kuliweza ni ndoto tena za panya akiwa ziwani kwani viongozi siyo wabunifu wa maendeleo zaidi ni wabunifu wa kuwaibia WATZ,nawasilisha mkuu!!!!
Dr Slaa, kulikuwa na kasumba iliyozoeleka huko nyuma kuwa jimbo likichukuliwa na upinzani, huwa kuna visasi vinavyofanywa na serikali ya chama tawala vya kutotekelezwa kwa mipango ya maendeleo katika jimbo hilo kwa makusudi ili kuwakomoa wananchi wale. Kwa mfano kuna tetesi kuwa mgao wa umeme Arusha mjini ni mkali kuliko sehemu zingine na watu wanahisi ni kwa sababu ya kuchagua chadema. Je chadema wamejiandaaje kupambana na tatizo hili la serikali ya chama tawala ambalo kwa kiasi kikubwa hutumiwa ili kuzoofisha upinzani?
Sisi wengine tunajua ni wajibu wa serikali kupeleka maendeleo sehemu zote za nchi pasipo upendeleo wa aina yoyote kwa kuwa wanalipa kodi, lakini inapokuja kwenye majimbo ya wapinzani huwa kuna tatizo la serikali kuwasusia wananchi wale.
Pia kwa uelewa wangu, jimbo linaloongozwa na mbunge wa upinzani linatakiwa lifanye vizuri kimaendeleo kwa sababu kutakuwa na matumizi mazuri ya fedha za maendeleo kwa kuwa kuna usimamizi mzuri.
Dr Slaa, kulikuwa na kasumba iliyozoeleka huko nyuma kuwa jimbo likichukuliwa na upinzani, huwa kuna visasi vinavyofanywa na serikali ya chama tawala vya kutotekelezwa kwa mipango ya maendeleo katika jimbo hilo kwa makusudi ili kuwakomoa wananchi wale. Kwa mfano kuna tetesi kuwa mgao wa umeme Arusha mjini ni mkali kuliko sehemu zingine na watu wanahisi ni kwa sababu ya kuchagua chadema. Je chadema wamejiandaaje kupambana na tatizo hili la serikali ya chama tawala ambalo kwa kiasi kikubwa hutumiwa ili kuzoofisha upinzani?
Sisi wengine tunajua ni wajibu wa serikali kupeleka maendeleo sehemu zote za nchi pasipo upendeleo wa aina yoyote kwa kuwa wanalipa kodi, lakini inapokuja kwenye majimbo ya wapinzani huwa kuna tatizo la serikali kuwasusia wananchi wale.
Pia kwa uelewa wangu, jimbo linaloongozwa na mbunge wa upinzani linatakiwa lifanye vizuri kimaendeleo kwa sababu kutakuwa na matumizi mazuri ya fedha za maendeleo kwa kuwa kuna usimamizi mzuri.
Kwa nini ukanda wa Pwani wote (Kaskazini mpaka Kusini na visiwa vyake), Kigoma, Tabora iliachwa bila maendeleo yoyote kwa miaka mingi? Jee, tukisema kulikuwa na ubaguzi wa kidini wa makusudi stakeout? sehemu hizo zinajulikana kwa waislaam kushamiri.
Nani alimbagua nani?Kwa nini ukanda wa Pwani wote (Kaskazini mpaka Kusini na visiwa vyake), Kigoma, Tabora iliachwa bila maendeleo yoyote kwa miaka mingi? Jee, tukisema kulikuwa na ubaguzi wa kidini wa makusudi stakeout? sehemu hizo zinajulikana kwa waislaam kushamiri.
<br />Hii ni hoja dhaifu miongoni mwa hoja dhaifu fikirika tuanzopenda kuzitoa Watanzania! Why arusha na isiwe Moshi ambako for couple of years now ipo chini ya CHADEMA?!! Why Arusha na isiwe Kigoma ambako CCM haina amani mkoani humo kwa miaka yote ya kuingia kwa upinzani?! Why Arusha na isiwe Pemba ambako CCM haijawahi kupata kiti ukiachilia uchaguzi ule wa kura za maruwani?! Why Arusha na isiwe Ubungo, Mbeya au Iringa?! What's so special in Arusha ukilinganisha na majimbo mengine ambayo yamewahi kuwa chini ya upinzani kwa vipindi mbalimbali kama vile TMK ambako kuna mengi kiuchumi hata kama wilaya yenyewe watu wake wengi ni maskini?! Acheni hisia mfu na mawazo ya kufikirika!!
Mbona hata Singida,Rukwa,Mara zote ziko nyuma kimaendeleo? Au huko nako wamejaa waislamu? Kwa taarifa yako hata Kigoma ukiondoa Ujiji maeneo mengine yamejaa wakristu.
Kitu kimoja nilichojifunza kuhusu watu wa pwani ni kwamba wengi wao hawapendi kufanya kazi ngumu ndo maana wanakimbilia mjini kufanya biashara.Kwa kifupi ni wavivu sana na hiyo imepelekea kufanya mikoa mingi iliyopo ukanda wa pwani kuwa nyuma sana kimaendeleo.Nadhani sasa hata CCM isifanye kosa lingine la kuchagua mgombea urais kutoka pwani kani imedhihirika kuwa ni mzigo kwa taifa.
Mwisho nakushauri uwe unajenga hoja zaidi kuliko kuleta mipasho humu jamvini!
Nani alimbagua nani?