Greatest Of All Time
Platinum Member
- Jan 1, 2017
- 26,550
- 62,021
Point kabisa mkuu.Unalotakiwa kujua wanawake wengi huvaa kuwakoga nyoyo wanawake wenzao, tofauti unavyofikiri kwamba ni kuvutia wanaume. Mwanamke anapenda aonekane amependeza kuliko wanawake wenzio..sijui kwasababu ni competitors! Hiyo wanajua wenyewe. Kwahiyo huwa wanaangalia wanawake wenzao kujipima wao wako level gani.
Nimekuwa nikiona mara kwa mara, unakuta akina dada wamekaa sehemu wanapiga stori au wanatembea lakini ghafla akapita mdada mwenzao basi akishawapita lazma wageuke wamuangalie. Nimezoea kuona sie jinsia ME tukigeuza shingo zetu na kushangaa maumbile ya wadada, Je nyie akina dada huwa mnageuka kushangaa nini kwa wanawake wenzenu?
Unauzoefu na sisi mkuuIkitokea mwanamke amevaa nguo fulani huwa hapendi kuona mwanamke mwingine ameivaa. Hiyo ndo psychology ya wanawake. Ikivaliwa na wengi mwingine anaweza hata kuisusia. Kwa ufupi mwanamke hutaka kuwa unique tofauti na mwanamke mwenzie.
Ikitokea mwanamke amevaa nguo fulani huwa hapendi kuona mwanamke mwingine ameivaa. Hiyo ndo psychology ya wanawake. Ikivaliwa na wengi mwingine anaweza hata kuisusia. Kwa ufupi mwanamke hutaka kuwa unique tofauti na mwanamke mwenzie.
Teehhhtehh..Swali kwa kina dada lkn naona wanajibu wanaume