Dogo kama ni kuhusu Ukimwi, tambua fika huo ugonjwa umeingia nchini miaka ya 1980's! Na kuhusu hizi condom zenu mnazojivunia nazo; Kibongo bongo, zimeanza kuwa maarufu miaka ya 1990's na 2000 tu. Sijui kwa huko Mamtoni.
Kwa hiyo jibu jepesi ni hili hapa! Kabla ya ugunduzi wa condoms, sisi wahenga wenu tulikuwa tunaenda tu kavu kavu! Yaani tulicheza mechi zetu pasipo kuvaa soksi! Na hata sasa bado tunaendelea na utaratibu wetu wa zamani. Kuhusu magono na makisonono, ni mara chache sana tuliambukizwa na wageni kutoka mjini.
Wahenga hakutumia maana magonjwa yenu hayakuwepo...
Yaani ninyi namba D mmetengeneza magonjwa na mmejitafutia suluhu... Kwahiyo ulimwengu wenu katu hauwezi, abadani kufanana na ulimwengu wa namba C kushuka chini

Kondom ilikuwepo kabla ya HIV, ilikuwa inatumika kujilinda na Gono, Kaswende na uzazi wa mpango.
Hata hivyo ilipata umaarufu mkubwa baada janga la ukimwi kuipiga Afrka.