Camera moja,nyumba wanaazma za idd azan au john komba ndo maana majambazi wanatakiwa kuvua viatu, kushoot siku moja. Hata ukiwa na milioni 5 inatosha kwani waigzaji wengne hawataki kulipwa ila kuuza sura tu
mimi nakumbuka few months ago, nilichelewa mtihani wangu wa finance sababu ya shooting! camera moja tu besti!!
mara over shoulder, top up, miguu , kichwa, jicho, aaahh! its really boring!
unapigwa shots nyiingi mpaka unaboreka! mawingu yakitanda sasa ndio kazi,, mnangoja mpaka yatoweke!
Mkuu hivi hii ndio sababu kwanini 90% ya Bongo movies zinaigiziwa indoors? Kucontrol mazingira esp maswala ya mwanga nje shughuli eehh??
mimi nakumbuka few months ago, nilichelewa mtihani wangu wa finance sababu ya shooting! camera moja tu besti!!
mara over shoulder, top up, miguu , kichwa, jicho, aaahh! its really boring!
unapigwa shots nyiingi mpaka unaboreka! mawingu yakitanda sasa ndio kazi,, mnangoja mpaka yatoweke!
Kioja kingine kwenye hyo movie, tulikuwa wasanii kama 20 ivi wote tulitakiwa kucheza scene tofauti,tukaenda kwenye nyumba moja ivi ilikuwa na vyumba kama vitatu na sebule,bas tugawanywa kila mtu na scene yake kweny chumba 1,wengine 2,wengine 3,yaan kana kwamba yan wote tulikuwa sehemu tofaut kumbe vyumba ndo tofauti ila nyumba ni moja yaan nilichoka japokuw nilipenda ubunifu,kila sehemu ya nyumba ilitumika kwa kujitegemea duh hawa jamaa kweli wasanii
kwenye filamu kuna vitu vingi nyuma ya pazia, ukijua utacheka sana.
Me kuna filamu as class asgnment nilifanya, me ndo director, me ndo cinematographer, me ndo script writer, me ndo executive producer, me ndo location mananger dah noma kweli.