Mwl Evarist Mchele
Member
- Jul 21, 2020
- 57
- 60
Jamani wana hukwaa na swali , muajiliwa wa miezi mitatu sasa katika shirika imara( kama serikali) lakini nikiangalia kwenye mtandao wa nssf online naona sijachangia chochote ! Angali nimekua nikikatwa pesa kwa miezi mitatu sasa.