ushoroba wa kati
Member
- Aug 12, 2019
- 88
- 98
Habari wakuu.
Moja kwa moja kwenye swali:
Hivi naweza kuzunguka kidogo town/nje ya Airport (nchi nyingine) kama ratiba yangu ya kusubiri/kubadili ndege (layover) ni ndefu?
Nawasilisha.
Sent using Jamii Forums mobile app