Mi naona hiyo ya mwanzoni ndio nzuriHivi kuna to fauti gani kati ya kozi zifuatazo.... BACHELOR OF SCIENCE IN COMPUTER SCIENCE IN SOFTWARE ENGINEERING NA BACHELOR OF COMPUTER SCIENCE
NA IPI KATI YA HIZO NI BORA ZAIDI
Tofauti ipo, hiyo ya juu ndio nzuri zaidi maana utajifunza na mambo ya software engineering Hata kujiajiri utaweza pia soko la ajira litakuwa kipaumbele sana tofauti na yule aliyosoma computer science tu.Tofauti zake unazijua?
Hiyo ni kozi inatolewa ruaha kama sikosei, kwanza haina uhusiano na engineering. Kama unataka kuwa injinia nenda kasome ile ya udom.Hivi kuna to fauti gani kati ya kozi zifuatazo.... BACHELOR OF SCIENCE IN COMPUTER SCIENCE IN SOFTWARE ENGINEERING NA BACHELOR OF COMPUTER SCIENCE
NA IPI KATI YA HIZO NI BORA ZAIDI
Tofuati ya kwanza Computer ngineering ni miaka 4, na computer science ni miaka 3.ila kwenye soko la ajira wanafanya kazi moja.Hivi kuna to fauti gani kati ya kozi zifuatazo.... BACHELOR OF SCIENCE IN COMPUTER SCIENCE IN SOFTWARE ENGINEERING NA BACHELOR OF COMPUTER SCIENCE
NA IPI KATI YA HIZO NI BORA ZAIDI
siku nyengine kabla hujauliza kitu jaribu kuserch Threads zilizopita kwanza.Hivi kuna to fauti gani kati ya kozi zifuatazo.... BACHELOR OF SCIENCE IN COMPUTER SCIENCE IN SOFTWARE ENGINEERING NA BACHELOR OF COMPUTER SCIENCE
NA IPI KATI YA HIZO NI BORA ZAIDI
Tofuati ya kwanza Computer ngineering ni miaka 4, na computer science ni miaka 3.ila kwenye soko la ajira wanafanya kazi moja.