poa sana mkuuAsante mkuu!
Mimi mwenyewe inanisumbua, siwezi kuweka pichaNaam, sasa wewe huwa unakabilianaje Na hiyo changamoto?
Umemuwai dakika 5 tuKila mtu yuko huru ili mradi HAVUNJI SHERIA ZA NCHI wala kuingilia UHURU WA MTU MWINGINE
Ni ulimbukeni muda mwingine kupost picha ziso na maana / maadili
inawezekana sio MTU wa mitupioWana jamvi poleni Na mihangaiko ya siku.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nimeona niulize hili swali nipate mawazo tofauti ambayo yatanijenga kwa namna moja au nyingine!
Kuna mitazamo tofauti tofauti ya watu juu ya swala la ku-post picha mitandaoni, Instagram, Facebook Na mingine,
Sasa je ..
Ni ushamba kupost picha?
Na je ni ulimbukeni?
Natanguliza shukrani wakuu!
Hahahahahahaha!Habari bila picha haionogi wacha nijazilizieView attachment 524497 View attachment 524499
Embu saidia apo jinsi ya kuposti picha Jamii Forum.Unapost tu but fb watu wanaenda beyond zaidi ..ova