Swali kuhusu Kilimo biashara

Joined
Feb 9, 2015
Posts
12
Reaction score
4
Naomba kuuliza juu ya kilimo cha karoti,strawbelly na pilipili hoho.

Niko Iringa, naomba msaada wenu.
 
duh undishi wako hatari, naweza kusaidia hapo kwenye pilipili hoho,
unahitaji kufahamu nini zaidi?
gharama?
maandalizi?
namna ya kupanda
soko au?
 
Ndg HORNET shida yangu ni maandalizi gharama za kuendesha kilimo kwa kuanzia pamoja Na namna ya kupanda.nashukuru
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…