Swali kuhusu JKT

Swali kuhusu JKT

Yusomwasha

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2014
Posts
2,092
Reaction score
844
Habar wana jf
eti ni kweli kuwa mtu yoyote anayepitia jkt ni lazima apimwe ukimwi?na jee akikutwa nao inakuaje?
 
Sasa kama una ukimwi utayaweza mazoezi kweli Si utatufia Mbele ya safari.
 
Habar wana jf
eti ni kweli kuwa mtu yoyote anayepitia jkt ni lazima apimwe ukimwi?na jee akikutwa nao inakuaje?

Ukipima ukimwi na mchumba wako, ukakutwa positive, basi ndoa ndo imekufa.

Sasa sembuse JKT?

We komaa na life lingine tu. Usikate tamaa. Huko watakutema.
 
magonjwa yote makubwa hayatakiwi ukitaka kuingia jeshini.. unaeza ukafia kwenye mazoezi mkuu
 
Habar wana jf
eti ni kweli kuwa mtu yoyote anayepitia jkt ni lazima apimwe ukimwi?na jee akikutwa nao inakuaje?

Wanahitajika watu healthy maan kule kuna harsh condition, tena kile kipind cha HELL weeks ni hatar sana
 
Wanahitajika watu healthy maan kule kuna harsh condition, tena kile kipind cha HELL weeks ni hatar sana

Hio Hell weeks ina mazoezi au changamoto za aina gani mkuu...??
Embu dadavua tuelewe maanaa hata mimi nna mpango wa kuenda huko.....
 
Hio Hell weeks ina mazoezi au changamoto za aina gani mkuu...??
Embu dadavua tuelewe maanaa hata mimi nna mpango wa kuenda huko.....

Hizo ni weeks za kukupush to the limit, kimwili na kisaikolojia pia.
Kaz kazi, Mazoezi magumu, usingizi kidgo sana, huko ni kuvurugwa hasaaa, maovyo ovyo yote yapo hasa kipindi hiko.
 
Hizo ni weeks za kukupush to the limit, kimwili na kisaikolojia pia.
Kaz kazi, Mazoezi magumu, usingizi kidgo sana, huko ni kuvurugwa hasaaa, maovyo ovyo yote yapo hasa kipindi hiko.

Sawa najua kuna mateso na nn.. Changamoto mbalimbali....sasa mfano???
 
Hao maafande nao wanapimwa? Isije ikawa wanaachwa tu.
 
Hao maafande nao wanapimwa? Isije ikawa wanaachwa tu.

Traineee ndo yupo kwenye mchakato wa upimaji,,, sidhani kama wanapimwa wale ni walimu hawakutani na mishe mishe mingi kama trainee
 
aiseee babayangu ukimwi wanapima ukikutwa nao unarudishwa njumbani
 
Mkuu wanapima hadi kinyeo kuona kama umesasambuliwa marinda ama la. Na ukikutwa huna rinda unarudishwa ha ha haa
 
Asee hapo yaan ata ukiwa na mvunjiko unarudishwa sembuse ukimwi??
 
nashukuru nimefuzu jkt ... ktambo tu.
np uraiani... natafuta ela.

yakimwagita tu... nashika silaha.
 
Back
Top Bottom