Swali : Kuhusu Elimu ya Ukimwi

Swali : Kuhusu Elimu ya Ukimwi

Kiba

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2012
Posts
459
Reaction score
62
Ngd zangu niwasalimu katika amani na maendeleo ya nchi?



Nchini Africa Kusini hivi majuzi rais Jacob Zuma alisaini law iliyopitisha watu wote wenye HIV kuwekewa ndui pajani ili ukikutana naye kimwili ujijue unaangamia

, je kwetu watazuia vipi janga hili la kitaifa linalokuja kwa kasi hasa kwa vijana wa vyuo vikuu na maelfu ya wamalizio darasa la saba na kufeli mwishowe wanaelekea kwenye miji mikubwa kufanya kazi za ndani na baani na hawana elimu juu ya UKIMWI?
 
nani saizi hajui kuhusu ukimwi. . . labda mtoto.. elimu watu wanayo .. unayeparamia tu bila kupima huyo kajitakia
 
Back
Top Bottom