Shukrani mkuu.
Lakini mkuu nilikupm nikaona uko kimya!
Wakuu naomba kujua,kifurushi cha dstv kikiisha na ukachelewa kununua kingine,kuna madhara gani?
Hapo mkuu kuna manufaa yapi..tujuzanemi natumia decoder za strong na ina slot pot ambayo natumia smartcard ya dstv na inafanya kazi kama kawa. ila niyazamani