mbon unapindisha pindisha mkuu,mnasema wajerumani walipigw na warusi kw sababu ya baridi kali iliyopo urusi sasa je mbon baada ya wajeruman kutolew urusi kichapo kiliendelea hadi berlin au barid ya urusi ilingia hadi berlinkunaweza kuwa kwenu kukawa na gereji lakini usijue ata kushika spana nimesema ujerumani hawakuwa trained katk vita vya baridi na snow ni kama vile kupigana jangwani au porini inatakiwa kuwa trained leo aliezoea kupigana vita vya jangwani ukimpeleka Msitu wa amazon atashindwa au kupata tabu sana kuzoea yale mazingira
Vita ilikuwa inakaribia kuiisha, mbabe German alikuwa kupigwa vibaya na majeshi ya Soviet. Japan alikuwa Pia kashindwa Manchuria. Alipigwa vibaya sana na vikosi vya Soviet. Japan alikuwa mgumu ku surrender. USA aliangusha yale mabomu kama revenge ya attack at Pearl Harbor ambapo meli zake za kivita, meli za mafunzo na Nyambizi zote zili zamishwa na ndege vita za Japan. Takriban wanajesh 2500 + walipoteza maisha katika shambulio hilo lá kushutikiza. Pili USA. Aliangusha mabomu ya Atomic strategically kuitangazia dunia yeye ni super power. Tatu kuizui Urusi kuivamia Japan na kufanya Japan nchi ya ki socialist kama East German. Hivyo ilimlazimu kutumia mabomu kuipiga Japan.Kwa hapo sidhani kama utakuwa sahihi kuiita USA kuwa taifa la kigaidi. Hapo ilikuwa ni kipindi cha vita na kama unavyojua vita ni vita tu. Lakini pia tukio hilo ndio lililosaidia vita hivyo (WWII) kuisha mapema !
Jamaa na ww unacopy klchoandkwa Google kama klvyo hututendei haki bwanaJapanese Foreign Minister Shigenori Togo called the ninth of August "a bad day." The Soviet Union declared war on Japan, overrunning the Kwantung army in Manchuria. Sumihisa Ikeda, Director of the Imperial Cabinet Planning Board, described the once invincible army as "no more than a hollow shell."
When news of the Nagasaki bombing reached Tokyo, Togo proposed acceptance of the Potsdam Declaration which set out terms of surrender for Japan and was signed by the United States, Great Britain, and China (U.S.S.R. ruler Joseph Stalin was a principal participant at Potsdam but did not sign the declaration). Japan's Supreme War Direction Council was deadlocked on a decision.
Debate continued throughout that day and night. Finally, at 2 A.M. August 10, 1945, Prime Minister Admiral Baron Kantaro Suzuki respectfully begged His Imperial Majesty Hirohito to make a decision. Hirohito did not hesitate, "...I do not desire any further destruction of cultures, nor any additional misfortune for the peoples of the world. On this occasion, we have to bear the unbearable." The emperor had spoken.
Unfortunately antisurrender sentiment and objections from much of the Japanese military was widespread. Vice Admiral Takijiro Onishi, founder of the kamikazes, argued the Japanese "would never be defeated if we were prepared to sacrifice 20,000,000 Japanese lives in a 'special attack' effort." He later committed suicide rather than surrender.
Hirohito was determined. Against all precedent, the emperor himself convened an Imperial Conference and at noon on August 15, 1945, announced Japan's surrender. The war was over.
Soma historia upya,mjerumani alivamia nchi 2 kwa pamoja ie Britain&Russia, Urusi ina aina 4 za climate,ambapo baadhi ya maeneo ni polar! Mjerumani kushindwa Vita Urusi ilipelekea pia ashindwe maeneo mengine maana walikuwa kwenye military alliancembon unapindisha pindisha mkuu,mnasema wajerumani walipigw na warusi kw sababu ya baridi kali iliyopo urusi sasa je mbon baada ya wajeruman kutolew urusi kichapo kiliendelea hadi berlin au barid ya urusi ilingia hadi berlin
Sent from my NEW V1 using JamiiForums mobile app
Walikua na hamu ya kulitest live bila chenga[emoji573]Nilichotaka kujua ni kwa nini marekani ilifikia hatua ya kutumia atomic badala ya silaha zingine? je, waliishiwa na zana au?
tatizo lughaawe jamaa wewe si u google tu dah
Siku nyingine utafsiri kwa kiswahili mkuu daaahJapanese Foreign Minister Shigenori Togo called the ninth of August "a bad day." The Soviet Union declared war on Japan, overrunning the Kwantung army in Manchuria. Sumihisa Ikeda, Director of the Imperial Cabinet Planning Board, described the once invincible army as "no more than a hollow shell."
When news of the Nagasaki bombing reached Tokyo, Togo proposed acceptance of the Potsdam Declaration which set out terms of surrender for Japan and was signed by the United States, Great Britain, and China (U.S.S.R. ruler Joseph Stalin was a principal participant at Potsdam but did not sign the declaration). Japan's Supreme War Direction Council was deadlocked on a decision.
Debate continued throughout that day and night. Finally, at 2 A.M. August 10, 1945, Prime Minister Admiral Baron Kantaro Suzuki respectfully begged His Imperial Majesty Hirohito to make a decision. Hirohito did not hesitate, "...I do not desire any further destruction of cultures, nor any additional misfortune for the peoples of the world. On this occasion, we have to bear the unbearable." The emperor had spoken.
Unfortunately antisurrender sentiment and objections from much of the Japanese military was widespread. Vice Admiral Takijiro Onishi, founder of the kamikazes, argued the Japanese "would never be defeated if we were prepared to sacrifice 20,000,000 Japanese lives in a 'special attack' effort." He later committed suicide rather than surrender.
Hirohito was determined. Against all precedent, the emperor himself convened an Imperial Conference and at noon on August 15, 1945, announced Japan's surrender. The war was over.
Unaweza kuangalia pearl harbour ya ben Affleck inaelezea chanzo na tukio la bomu la nuklia iliyipigwa Hiroshima and Nagasaki
mkuu inabidi wew ndo usome vizur historia.ulishawai kuskia vita ya staligrad? je unajua kama hii vita ya staligrad ndo vita iliyongoz kw kuuwa watu weng san,hii vita ilikuwa kati ya Urusi ikichangiw na germany,romania,itary na hungary lakin kilichokuj kutokea watu wote awakuamin maan germany na wezanke walichapik ile mbaySoma historia upya,mjerumani alivamia nchi 2 kwa pamoja ie Britain&Russia, Urusi ina aina 4 za climate,ambapo baadhi ya maeneo ni polar! Mjerumani kushindwa Vita Urusi ilipelekea pia ashindwe maeneo mengine maana walikuwa kwenye military alliance
ndio matatizo ya watoto Waliozoea chips yai.....akili ndogo kama uziwe jamaa wewe si u google tu dah
Kila mtu ange google asichokijua wewe ungefuata nini huku? The more you pretend to know the more you become a fulish.we jamaa wewe si u google tu dah
Mjapani alikosa padogo sana mkuu, kama angeiwahi ile meli ya USS Indianapolis ambayo ilikuwa ikisafirisha lile bomu, waliivizia na submarine yao but meli ilikukuwa faster kidogo, wajapan wakaisubiri wkt inarudi ndipo walipoizamisha ile meli bt km wangefanikiwa wkt inapeleka bomu, wajapani wangetisha sana.Mjapan aliendelea kukomaa hata baada ya ujeruman kunyoosha mikono juu, hapo ndipo US akaumaliza mchezo atomic
annee usa, china, japan then Germanyheheheee...kuna watu wanahisi hata Hitler alikuwa Alien....maana kwa sajent wa jeshi kuibuka na kuwa mkuu kama alivyofanya kwa muda mfupi si rahisi.