E ElevateYourLife Member Mar 21, 2022 28 27 Apr 11, 2022 #1 Naomba kujuzwa na wazoefu hivi kuna uwezekano wa ajira zitakazotangazwa hivi karibuni kupangiwa tu vituo bila kufanya application?
Naomba kujuzwa na wazoefu hivi kuna uwezekano wa ajira zitakazotangazwa hivi karibuni kupangiwa tu vituo bila kufanya application?
Cathelin JF-Expert Member Sep 21, 2018 2,071 3,994 Apr 11, 2022 #2 ElevateYourLife said: Naomba kujuzwa na wazoefu hivi kuna uwezekano wa ajira zitakazotangazwa hivi karibuni kupangiwa tu vituo bila kufanya application? Click to expand... Application utafanya Kama kawa, na kupata ni bahati
ElevateYourLife said: Naomba kujuzwa na wazoefu hivi kuna uwezekano wa ajira zitakazotangazwa hivi karibuni kupangiwa tu vituo bila kufanya application? Click to expand... Application utafanya Kama kawa, na kupata ni bahati
E ElevateYourLife Member Mar 21, 2022 28 27 Apr 11, 2022 Thread starter #3 Cathelin said: Application utafanya Kama kawa, na kupata ni bahati Click to expand... Asante sana mkuu. Naomba kuuliza pia range ya muda wa kufanya application kawaida ni siku ngapi. Nataka nikafuatilie cheti kesho
Cathelin said: Application utafanya Kama kawa, na kupata ni bahati Click to expand... Asante sana mkuu. Naomba kuuliza pia range ya muda wa kufanya application kawaida ni siku ngapi. Nataka nikafuatilie cheti kesho
Pacbig JF-Expert Member Oct 15, 2017 1,095 2,081 Apr 11, 2022 #4 ElevateYourLife said: Asante sana mkuu. Naomba kuuliza pia range ya muda wa kufanya application kawaida ni siku ngapi. Nataka nikafuatilie cheti kesho Click to expand... We anza kufuatilia cheti kuanzia hata leo. Nilishawahi kosa ajira na nilikuwa na connection kisa ujinga kama huu wako.
ElevateYourLife said: Asante sana mkuu. Naomba kuuliza pia range ya muda wa kufanya application kawaida ni siku ngapi. Nataka nikafuatilie cheti kesho Click to expand... We anza kufuatilia cheti kuanzia hata leo. Nilishawahi kosa ajira na nilikuwa na connection kisa ujinga kama huu wako.
E ElevateYourLife Member Mar 21, 2022 28 27 Apr 11, 2022 Thread starter #5 Asante sana mkuu. Nisilaze damu Pacbig said: We anza kufuatilia cheti kuanzia hata leo. Nilishawahi kosa ajira na nilikuwa na connection kisa ujinga kama huu wako. Click to expand...
Asante sana mkuu. Nisilaze damu Pacbig said: We anza kufuatilia cheti kuanzia hata leo. Nilishawahi kosa ajira na nilikuwa na connection kisa ujinga kama huu wako. Click to expand...
Mbaga Jr JF-Expert Member May 28, 2018 19,981 43,960 Apr 12, 2022 #6 Cjaelewa, unaangiwaje kituo bila kufanya application.? Watajuaje unataka hy nafasi.?
Niite Profesa Senior Member Jun 19, 2015 100 106 Apr 12, 2022 #7 ElevateYourLife said: Asante sana mkuu. Naomba kuuliza pia range ya muda wa kufanya application kawaida ni siku ngapi. Nataka nikafuatilie cheti kesho Click to expand... Huwa hazizidi wiki mbili
ElevateYourLife said: Asante sana mkuu. Naomba kuuliza pia range ya muda wa kufanya application kawaida ni siku ngapi. Nataka nikafuatilie cheti kesho Click to expand... Huwa hazizidi wiki mbili
Clark boots JF-Expert Member Jun 5, 2017 6,485 5,720 Apr 12, 2022 #8 Niite Profesa said: Huwa hazizidi wiki mbili Click to expand... Hv Ajira za waalimu zishatoka..?
Political stability JF-Expert Member Apr 7, 2021 906 1,398 Apr 13, 2022 #10 Smart911 said: Ngoja waje kukupa muongozo... Click to expand... Wewe, kila siku, ngoja waje kukupa muongozo..
Smart911 said: Ngoja waje kukupa muongozo... Click to expand... Wewe, kila siku, ngoja waje kukupa muongozo..
G goncalo JF-Expert Member Aug 25, 2021 319 163 Apr 14, 2022 #11 Political stability said: Wewe, kila siku, ngoja waje kukupa muongozo.. Click to expand... Mpaka anakera
Political stability said: Wewe, kila siku, ngoja waje kukupa muongozo.. Click to expand... Mpaka anakera
Political stability JF-Expert Member Apr 7, 2021 906 1,398 Apr 14, 2022 #12 goncalo said: Mpaka anakera Click to expand... kumbe unamjua
Muju4 JF-Expert Member Oct 27, 2014 5,348 7,212 Apr 14, 2022 #13 Political stability said: Wewe, kila siku, ngoja waje kukupa muongozo.. Click to expand... Huyu Mkuu huwa hana baya na mtu muache Mkuu.
Political stability said: Wewe, kila siku, ngoja waje kukupa muongozo.. Click to expand... Huyu Mkuu huwa hana baya na mtu muache Mkuu.