Swali kuhusu ajira za Jeshi la Magereza

Swali kuhusu ajira za Jeshi la Magereza

Lazam Emanuel

Member
Joined
May 8, 2014
Posts
7
Reaction score
0
Wana jf naombeni msaada wenu ivi barua za maombi ya kazi zilizotangazwa na jeshi la magereza inatakiwa kutype au kuandika kwa mkono. Nauliza ivi mana hawa waajiri huwa wanatafuta sababu zisizo na msingi
 
Barua ya kazi inafaa iandikwe kwa mkono ingawaje hata ukitype sio mbaya mradi inaeleweka.
 
kama tangazo litakuwa alija specify ni vizuri zaidi kuandika kwa mkono ndugu yangu..ingawaje maamuzi ni yako
 
Back
Top Bottom