VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,140
- 18,007
Mkuu suala la malipo likiwa wazi kiasi hiki nadhani makarani hawatakuwa salama sana!, Rejea uporwaji wa Vishikwambi uliofanyika hata kwa juzi na jana tu!!La mwisho, malipo ya makarani yawe wazi: wanalipwa ngapi, lini na kwa namna gani? Kificho ni kitisho
Ingakuwa ni Uchaguzi ndio ungejua serikali ya CCM huwa iko makini kwenye mambo gani🤣🤣Sitaki kusema mengi. Sitaki kuonekana nachonga kwa mambo ya kitaifa kama haya ya sensa. Mambo ya sensa ni mambo ya kisasa. Ni mambo muhimu kuliko ndimu kwenye maendeleo ya taifa letu. Lakini, kama kawaida yetu, siasa imeiingilia sensa yetu na kuitishia kuiharibu bila aibu
Kuna wananchi wamenipigia simu jana kama wawili wanataka kuhakikisha habari wanazosikia eti Makarani wanalipwa Milioni moja kwa siku?La mwisho, malipo ya makarani yawe wazi: wanalipwa ngapi, lini na kwa namna gani? Kificho ni kitisho
Wako bize na Mzungu wa Simba🤣🤣Tozo na siasa zimevuruga kabisa hili zoezi la sensa ya mwaka huu.
Umesahau kuweka namba za simuNakuomba uungane nami Lucas mwashambwa kumsaidia mh Rais wetu
Hii sentensi yako ukiitafakari sana unaweza cheka hadi kuzimia,ni bajeti za hela ngapi zinatengwa kwa wananchi na hazitufikii sisi raia wa uku chiniNakuomba uungane nami Lucas mwashambwa kumsaidia mh Rais wetu mpendwa kuwahamasisha watanzania waweze kuhesabiwa, ili iwe lahisi kwa mh Rais wetu kupanga mipango ya maendeleo na kibajeti itakayo gusa maisha ya kila mtanzania na makundi yote, kupanga maendeleo ambayo hayatamuacha mtu nyuma
Kwani huko uliko Hakuna huduma za kijamii zilizojengwa na kuboreshwa, hakuna Miundombinu iliyojengwa huko uliko, huoni Elimu ikitolewa bure kutoka darasa la kwanza Hadi kidato Cha sitaHii sentensi yako ukiitafakari sana unaweza cheka hadi kuzimia,ni bajeti za hela ngapi zinatengwa kwa wananchi na hazitufikii sisi raia wa uku chini
Kwanza lazima ieleweke kuwa kuhusu kuishi nchini kwa mtu asiye mtanzania Ni lazima mtu awe na vibari vyote halali, hivyo Kama hao watu siyo watanzania na hawana vibali vya kuwaruhusu kuishi hapa nchini lazima hatua za kisheria zichukue mkondo wake, maana hamuwezi mkajuwa hao Ni akina Nani na wapo hapa nchini kwa lengo gani, na wanadhamila gani, na wamefikaje mpaka hapo walipo, walipitia wapi na kusaidiwa na Nani kuvushwa mpakani na hata kuelekezwa njia za kupita mpaka kufika hapo walipo fikaHakika uzalendo wako umeonekana kwa vitendo kwanza kwa kushiriki zoezi na kwa kutoa hamasa kwa wananchi wote waendeleze uzalendo kwa kutoa ushirikiano katika kukamilisha zoezi muhimu la sensa.
Kwa vile umedhihirisha uzalendo, napenda kukupa kazi ili kusaidia kufanikisha zoezi hili. Jana mimi na watu wa nyumba yangu tumehesabiwa mapema sana yapata saa nne asubuhi. Makarani na mwakilishi wa serikali ya mtaa walieleza changamoto kuwa jirani na kwangu wamefunga nyumba na hawapo pamoja na kupewa taarifa jana yake, yaani Jumatatu bado hawakutoa ushirikiano. Kwa ufahamu wangu jirani zangu wengi ambao wanaishi nyumba za squatter nyingi ziko mabondeni ni watu wanaotoka mkoa wa Kigoma na Katavi. Huku ni Kigamboni ya Wilaya ya Temeke. Taarifa tuliopata juwa gawataki kuhesabiwa. Pia wanaabudu kanisa ambalo mchungaji wao ni wa kutoka huko kwao Kigoma mwenye kuwaimanisha kuwa kuhesabiwa ni kinyume na maandiko ya Biblia. Hivyo nadhani wamegoma kutokana na imani yao au pia kuogopa maswali wakidhani yanahoji uraia. Makarani wamepata shida kuwapata.
Ndugu Lucas mzalendo, unaweza kusaidia kuondoa hii changamoto naamini.