Yelo masai
New Member
- Jun 6, 2014
- 1
- 0
Huwezi kusema mtu ametoka nje ya ndoa, ni dhambi tena kama ni mwanamke unasema anatoka nje ya ndoa ni dhambi zaidi, kithibitisho ni umkute 'juu' au watu wanne walimuona kwa macho
Mwanamke ni dhambi zaidi? Why
Huwezi kusema mtu ametoka nje ya ndoa, ni dhambi tena kama ni mwanamke unasema anatoka nje ya ndoa ni dhambi zaidi, kithibitisho ni umkute 'juu' au watu wanne walimuona kwa macho
itakuwa na nguvu hayo mashataka yako kama utawakamata ile kitu ikioshwa tu ushaidi umeisha

kitu gani
Sema sh ngap unataka nkutumie
naomba 1,000,000/= kesho weekend
papuchina gegedo