Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,740
- 121,792
Wanabodi,
Katika kujibu maswali ya wabunge kwenye kipindi cha mwaswali na majibu bungeni leo nimemsikia Naibu Waziri wa Elimu, Eng. Stella Manyanya akijibu swali la mbunge fulani kwa kiburi na jeuri na kutamka neno "Serikali Yangu!".
Hivi waziri anaweza kutamka hivyo akiwa ndani ya bunge na ikawa ni sawa tuu?!.
Kwa maoni yangu, mtu mwenye uwezo wa kutamka neno "serikali yangu" ni mtu mmoja tuu, Rais wa JMT, Dr. John Pombe Magufuli, yeye ndie mwenye serikali!. Wengine wote ni "serikali yetu", au serikali ya chama cha mapinduzi!.
NB. Angalieni msi confuse neno "serikali yangu" na neno "chama changu"!, mwanachama yoyote anaweza kutamka neno "chama changu", au "chama chetu" popote lakini sio "serikali yangu!".
Wataalamu wa lunga ya Kiswahili, naombeni msaada kwenye hili!.
Jee Wazii anaweza kutamka maneno "serikali yangu" na akawa yuko right?!.
Pasco.