Swali: Je, Mtumishi wa serikali akifikishwa na Takukuru Mahakamani ni lazima asimamishwe kazi?

koryo

JF-Expert Member
Jun 21, 2010
639
278
Napenda kuwauliza wana JF wenzangu,kuwa Mtumishi wa Serikali akifikishwa Mahakamani na Takukuru ni lazima asimamishwe kazi?.

Nimeona wengine bado wanaendelea na kazi na wengine wamesimamishwa na hivyo kuwa na sintofahamu.

Naomba mnielemishe.
 
Ungewataja hao waliosimamishwa na ambao hawajasimamishwa huenda kuna exceptions zinazoweza kubainishwa na kuainishwa na wachangiaji
 
Back
Top Bottom