Swali: Je android itakufa(will android die)????

Swali: Je android itakufa(will android die)????

RGforever

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2011
Posts
6,877
Reaction score
5,444
Je hii operation system inaweza kuja kupotea katika soko kama symbian..... je ni sababu gani zinazoweza kusababisha os kufa..

uwanja wako mtaalamu...
 
Jaman kaka zangu humu,nsaidien application za symbian dada yenu bdo cjapata mkwanja wa android
 
Mkuu kufa kwa symbian kumetokana na sababu kuu mbili

1 . screen resolution
Symbian uwezo wake wa mwisho ni resolution ya 360x640 na ilikuwa haiendelezeki zaidi ikabidi nokia waipige chini

2.haikubali processor yenye core zaidi ya moja
Ukiangalia symbian simu zote zina core moja tu hii ikafanya symbian ife.

Kwahio Mkuu hii inaonesha hakuna os isiyo na mwisho inafika stage inabidi os ife au ianze kutengenezwa from scratch ambayo ni gharama sana

Kwa watu kama Microsoft au Google au apple sio ishu kubwa kwao maana wana cash za kutosha

Vitu vyengine vinavyoweza kufanya os ife ni os kupitwa na wakati na watu kuacha kununua simu zake Mfano os ya Samsung ile iliokua inaitwa bada Samsung wameiua baada ya kushindwa kupata market share ya kutosha.
 
itakapofikia wakati ambapo application zake zitaonekana za kawaida tu mfano ma gps na venginevyo vinavyojisyconize vinapoteza betry life.

OS hii inahitaji betry ya nguvu na haidum kama hawatobadirisha wateja twaweza amia palipo na mid range os. smartphone zitakazokuja ambazo zitastahimili. uhai wa betri na aplication za ulazima zipo kama fb ,mail na whatsapp
 
Naona black berry ndo ipo hatua hii ya kifo
 
windows phone inakuja juu, jamaa wamejipanga, ni nyepesi sana na easy kuitumia
 
Mkuu kufa kwa symbian kumetokana na sababu kuu mbili

1 . screen resolution
Symbian uwezo wake wa mwisho ni resolution ya 360x640 na ilikuwa haiendelezeki zaidi ikabidi nokia waipige chini

2.haikubali processor yenye core zaidi ya moja
Ukiangalia symbian simu zote zina core moja tu hii ikafanya symbian ife.
i wish if kungekua na means ya ku downld files from your head to mine???big up sana chief!najifunza vtu vng sana kutoka kwako!
 
Unaweza Ukafanya Inventing Mwenyewe On How To do that na ukaja pata faida kutoka kwa wengne watakao itumia njia hii! Il mm na prefer kufuatilia post zake kulko hzo shortcut maana tangu nijiunge hum n mwaka na miez mi 3 hv ila nmejfunza mambo nliyoshndwa kujfunza miaka ming ya nyuma!! So kila sku tunazd kupata kdogo kdogo had 2naelewa... Thanks to him ....

i wish if kungekua na means ya ku downld files from your head to mine???big up sana chief!najifunza vtu vng sana kutoka kwako!
 
Back
Top Bottom