likongobhe
Member
- May 19, 2013
- 91
- 194
Heshima kwenu wakuu! Nina swali kidogo,
Endapo mtu anatumia subwoofer toleo la zamani kidogo kuna uwezekano wowote wa kuongeza bluetooth device na ikawa ina uwezo wa kuunganisha vyombo mbalimbali kwa ajili ya kuchezea music mfano computer, simu, nk?
Nawasilisha.
Sent using Jamii Forums mobile app