SWALI: Huu ni ugonjwa gani wa kuku kwa dalili hizi ?

92mtl

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
461
308
wana jamvi naombeni msaada wa haraka kwa anae jua vizur magonjwa ya KUKU kwa dall nitazo weka ushauri na tiba za kisasa au kienyeji

dalili

1:hana guvu miguu yote na vidore vina jifunga hawez kusimama

2:Uharo mweupe wenye maji maji

3:njia ya haja kubwa INA cheza kufunga na kufunguka

4:hali hanywi

1471854400640.jpg
 
Ugonjwa huo sio kideri ( Newcasle disease). Kwa dalili hizo utakuwa Marek's disease unasababishwa na virus kama ulivyo kideri. Kwa hiyo hakuna tiba ila kuna kinga ya chanjo.
 
Kideri ama newcastle kuku huharisha kijani,Mereks mara nyungi kuku hukunja shingo mithiri ya kujidonoa kifua.Huyo kuku inawezekana kabisa akawa na magonjwa ya matumbo(typhod) na unahitaji ant biotic tu za kawaida ili kumtibu,kuku kama hali lazima ashindwe kutembea ila huo sio mdondo/kideri
 
wana jamvi naombeni msaada wa haraka kwa anae jua vizur magonjwa ya KUKU kwa dall nitazo weka ushauri na tiba za kisasa au kienyeji

dalili

1:hana guvu miguu yote na vidore vina jifunga hawez kusimama

2:Uharo mweupe wenye maji maji

3:njia ya haja kubwa INA cheza kufunga na kufunguka

4:hali hanywi

View attachment 385635

Kuku wako unawafuga kwa mfumo gani,huria,nusu huria au ufugaji wa ndani?
 
Hii ni Mareks,kama alivyoeleza mchangiaji mmoja hapojuu, ugonjwa hauna tiba una kinga tu. (Chanjo ya mareks inatolewa kuku akiwa na umri wa siku moja.)
 
Kideri ama newcastle kuku huharisha kijani,Mereks mara nyungi kuku hukunja shingo mithiri ya kujidonoa kifua.Huyo kuku inawezekana kabisa akawa na magonjwa ya matumbo(typhod) na unahitaji ant biotic tu za kawaida ili kumtibu,kuku kama hali lazima ashindwe kutembea ila huo sio mdondo/kideri
asanten wandugu naendelea kupata maon but KUKU yule kasha kufa wengine wanaendelea vizur baada ya untibiotics
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom