Ukiondoa Binadamu( Homo sapiens) kuna jamii yeyote ya species katika kundi la wanyama aina ya mamalia katika mahusiano linauwezo wa kujihusisha na Ushoga au usagaji.?
I mean kuna species yeyote katika mamalia zaidi wanaweza kuwa homo/Bi sexual na sio Straight?
Nawasilisha kwa mjadala na majibu