nyumbatatu
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 1,076
- 939
Hii rangi hatari.
Asee alafu hiyo rangi huyo fundi inaonyesha ni mtaalam sana
no offence ila mbona ni wanawake tu
Hizi ni Rangi za Amani, Uhuru wetu, Utu wetu, Alama za Haki na Usawa katika Bara letu.
Join the Movement.